Maumivu ya Kisiasa za Kidemokrasia: Somo toka Uingereza

Tatizo siku hizi utafiti wa kuhoji watu wanaongea tofauti na walichofanya kwenye kupiga kura,Mtu anasifia labour anapigia conservative ndio binadamu ameamua kuwa kigeugeu kutokana na watawala wenyewe,wanajitoa EU huku roho zao bado hazina amani ndio shida ya waingereza sasa mguu mmoja ndani mungine nje
 
WEEE MADARAKA MATAMU,NIITISHE UCHAGUZI WA DHARURA WA NINI,ILI NANI ANISIFU,AFU NISHINDWE WANICHEKE?????AYO MAMBO WANAYAWEZA WEUPE.
 
Sisi huku kwetu mambo yakienda mrama tunaweka mpira kwapani...mechi inaanza upya. Lazima matokeo yaende kama wanavyotaka wao.
 
WEEE MADARAKA MATAMU,NIITISHE UCHAGUZI WA DHARURA WA NINI,ILI NANI ANISIFU,AFU NISHINDWE WANICHEKE?????AYO MAMBO WANAYAWEZA WEUPE.
Matamu kwa watu weusi, ndo maana mko radhi kutoa hata roho ya MTU au watu ili mue ndelee kutawala
 
Ndio maana uchina waliona huu ni ujinga na wastege ya resources
Sawa demokrasia, haipo pefect ina mapungufu mengi tu, je mbadala wake unaopendekeza ni upi? na mapungufu yake yatakuwa na nafuu kuliko mapaungufu ya demokrasia?
Unaweza kusema tufanye labda rais anachaguliwa na watu watu wa kamati maalumu ya chama, lakini watu hao wanaweza kununuliwa au kutishwa na kumchagua kiongozi mbovu
Au unataka tutawaliwe kifalme? hii tunaweza kuongozwa hata na mtu mwenye matatizo ya akili au kilaza sababu tu ni mfalme
 
Mhh! mama anakula chips, na coke lakini kaonda hivi?! Tatizo nini labda?!
 
Back
Top Bottom