Maumivu ya bajeti ya 2021 yako hapa kwa wananchi wa kawaida

Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,491
3,998
(i) Kutoza tozo ya shillingi 10 hadi shilingi 10,000 katika kila muamala wa kutuma au kutoa pesa. Kiasi cha tozo kinatofautiana kulingana na thamani ya muamala wa fedha unaotumwa au kutolewa. Pendekezo hili litaongeza mapato ya Serikali kiasi cha shillingi milioni 1,254,406.14; na

(ii) Kutoza kiasi cha shilingi 10 hadi shilingi 200 kwa siku kwa kila laini ya simu kulingana na uwezo wa kuongeza salio kwa watumiaji. Pendekezo hili litapelekea kuongeza mapato ya Serikali kiasi cha shillingi milioni 396,306.0.

d. Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, SURA 147

Kutokana na vinywaji vikali kuwa na kiwango kikubwa cha kilevi, napendekeza kuongeza ushuru wa bidhaa kwa asilimia 30 ili kuwa na uwiano wa viwango vya kodi kati ya Vinywaji kali na Bia. Hatua hii inatarajia kuiongezea mapato Serikali kwa kiasi cha shilingi milioni 60,769.35.

Utekelezaji wa hatua hizi nne kwa pamoja unatarajiwa kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha shilingi milioni 2,033,639.66.

U. Tarehe ya Kuanza Kutekeleza Hatua Mpya za Kodi

89. Mheshimiwa Spika, hatua hizi za kikodi zinazopendekezwa zitaanza kutekelezwa tarehe 1 Julai, 2021, isipokuwa pale itakapoelezwa vinginevyo. Aidha, Marekebisho hayo yataainishwa katika Muswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2021 na Matangazo ya Serikali (Government Notices).
☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️
Binafsi naona huu ni mzigo kwa wananchi wa kawaida kwa sababu wao ndio watumiaji wakubwa wa huduma hizo. Kwanini hayo makato yasingekuwa kwenye miamala mikubwa ya kibenk badala ya kukata 100 kwenye vocha ya 500!?

Unapandisha bia ya 1500 kwa 30% unataka watu wanywe gongo? Kwanini iyo asilimia usiweke kwenye Hennessy au Jack Daniel? Unataka double kick tuanze kununua 2500 tena? Una hamasisha vijana kubet badala ya kazi?

Mods please msiunge uzi huu nataka kila mtanzania atoe maoni yake kwenye wazi tofauti na uzi wa bajeti yote.
 
Kipengele (i) na (ii) kina gusa Watu wengi Sana mpaka wenye Uchumi mdogo kabisa.

Bora wangeacha Faini ya Bodaboda iendelee kuwa 30,000/= kwa kila Kosa.
Kabisa mkuu,na wangewapandishia wacheza kamari hata 50% sababu uaipocheza kamari hufi,yan hakuna madhara utakayopata ukiacha kucheza,na ukitozwa hiyo asilimia utapungukiwa nini? Hapo asee wamekosea sana
 
(i) Kutoza tozo ya shillingi 10 hadi shilingi 10,000 katika kila muamala wa kutuma au kutoa pesa. Kiasi cha tozo kinatofautiana kulingana na thamani ya muamala wa fedha unaotumwa au kutolewa. Pendekezo hili litaongeza mapato ya Serikali kiasi cha shillingi milioni 1,254,406.14; na

(ii) Kutoza kiasi cha shilingi 10 hadi shilingi 200 kwa siku kwa kila laini ya simu kulingana na uwezo wa kuongeza salio kwa watumiaji. Pendekezo hili litapelekea kuongeza mapato ya Serikali kiasi cha shillingi milioni 396,306.0.

d. Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, SURA 147

Kutokana na vinywaji vikali kuwa na kiwango kikubwa cha kilevi, napendekeza kuongeza ushuru wa bidhaa kwa asilimia 30 ili kuwa na uwiano wa viwango vya kodi kati ya Vinywaji kali na Bia. Hatua hii inatarajia kuiongezea mapato Serikali kwa kiasi cha shilingi milioni 60,769.35.

Utekelezaji wa hatua hizi nne kwa pamoja unatarajiwa kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha shilingi milioni 2,033,639.66.

U. Tarehe ya Kuanza Kutekeleza Hatua Mpya za Kodi

89. Mheshimiwa Spika, hatua hizi za kikodi zinazopendekezwa zitaanza kutekelezwa tarehe 1 Julai, 2021, isipokuwa pale itakapoelezwa vinginevyo. Aidha, Marekebisho hayo yataainishwa katika Muswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2021 na Matangazo ya Serikali (Government Notices).
☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️
Binafsi naona huu ni mzigo kwa wananchi wa kawaida kwa sababu wao ndio watumiaji wakubwa wa huduma hizo. Kwanini hayo makato yasingekuwa kwenye miamala mikubwa ya kibenk badala ya kukata 100 kwenye vocha ya 500!?

Unapandisha bia ya 1500 kwa 30% unataka watu wanywe gongo? Kwanini iyo asilimia usiweke kwenye Hennessy au Jack Daniel? Unataka double kick tuanze kununua 2500 tena? Una hamasisha vijana kubet badala ya kazi?

Mods please msiunge uzi huu nataka kila mtanzania atoe maoni yake kwenye wazi tofauti na uzi wa bajeti yote.
Hizi namba ulizoandika kwenye uzi wako upo nazo sawa kweli mkuu?
 
Hii nchi ngumu sana

Ziko sawa

👆👆👆👆
Kwahiyo mabadiliko yote hayo yataiongezea serikali ya Tanzania kiasi cha Tsh 2,033,639.66./milioni mbili, na elfu thelathini na tatu, mia sita thelathini na tisa pointi sita sita? 😊😊
 
😁Nacheka kwa masikito hapa
 
Utekelezaji wa hatua hizi nne kwa pamoja unatarajiwa kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha shilingi milioni 2,033,639.66.

Kwahiyo mabadiliko yote hayo yataiongezea serikali ya Tanzania kiasi cha Tsh 2,033,639.66./milioni mbili, na elfu thelathini na tatu, mia sita thelathini na tisa pointi sita sita?
Mimi nililenga zile 100 mpaka 10k hiyo jumla kuu sikuitilia maana sana
 
Back
Top Bottom