maumivu wakati wakujisaidia haja kubwa

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
jamani kunajaa anaomba msaada wenu anadai kua kila anapokwenda haja kubwa anasikia maumivu na wakati mwingine hadi damu inamtoka.tatizo inaweza kua ni nini?
nawasilisha
 
Haemorroids!! Nenda kwa daktari lakini usiogope, akakukague huko Masaburini.
 
Back
Top Bottom