Maumivu wakati wa sex | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu wakati wa sex

Discussion in 'JF Doctor' started by Malolella, Jun 17, 2012.

 1. M

  Malolella JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Wanajf mkewangu yupo mbali kikazi na kwa sasa ni mjamzito. Tumekuwa tukikaa hata miezi2 bila kuonana. Nikifika na 2kianza sex analalamika kuumia sana na vagina huwa imejirudi sana hata kupenetrate inakuwa kwashida. Baada ya siku3 au 4 ndipo huanza kuingia kiurahisi. Pia anasema hasikii hamu yakusex tangu apate ujauzito. Wataalamu hebu fungukeni hapa sababu ya maumivu, vagina kujirudi na yeye kutosikia hamu ya sex.
   
 2. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  We utakuwa humuandai mkeo!!!, unataka kutumbukia tu!!!.
   
 3. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mkuu si ushatumbukiza kimelea.... mwache naye apumzike
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Wewe unakuwa na hamu, mwenzio ameshapoteza hamu with time. Unatakiwa uende naye taratibu na Mazingira yawe mazuri.

  Kuhusu kukosa hamu wakati wa ujauzito, itakuwa mimba imekukataa tu. Mimi pia ilinitokea, nilimchukia baba wa mtoto wangu, nilikuja kumpa mtoto ana miezi minne.
  Wengine hupelekea kuwapenda waume zao na kuwataka 24/7.
   
 5. Stanley.

  Stanley. JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Watakushauri usihofu! Pia jitahidi kumuandaa vizuri na utayari ni muhimu.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nadhani jibu ashakupa mwenyewe kwamba hana hamu so hata zile hormones za kufanya vagina fluids zitoke zinakua hazihamasiki so kunakua kupo dry hvyo ukiingia lzm utamuumiza tu,relax n take notes yl I take tote of marijuana smoke gun smoke I just want paper!
   
 7. M

  Mwanaweja JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 3,576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ina maana anaumia mkeo tu je, wewe huumii? maana kama kitu frictional ni kubwa lazima hata wewe utahisi maumivu mwishowe
   
 8. M

  Malolella JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nashkuru sana kwa ushauri wenu wanajf. Nextwk naenda nitajitahidi kumuandaa kwa muda mrefu. Kama nikweli mimba imenikataa kama alivosema mdau mmoja cjui itakuwaje!
   
 9. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahaha hapo kny bold...???????????????lol
  inaelekea hujui jinsi ya kumuandaa mkeo,huwaga tunavumilia bad romance ila baada ya muda nature inatukua mkondo wake,hatuwezi kuvumilia anymore.....omba acess jukwaa la kikubwa wakina funzadume silentwhisper Rungu wakupe darasa jinsi ya kumuandaa mkeo....:embarrassed::embarrassed:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. M

  Malolella JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nitaingiaje jukwaa lakikubwa?
   
 11. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  M pm invisible then muombe acces atakupa.
   
 12. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Jaribu kwa njia zote kumuandaa. Na ujitahidi sana kutokufikiria nyumba ndogo! Kwa mazingira uliyonayo ukiiwaza tu umekwisha.
   
 13. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,015
  Likes Received: 2,630
  Trophy Points: 280
  Kaka nenda chumvini halafu ulimi wako unaenda katika mzunguko wa namba 8,itafunguka na utapita kiulaini with no pains,ila tumia skills & tenderness sio kihovyohovyo mpaka anapoteza muelekeo.
   
 14. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mtu akiwa na mimba hormones zina change ndo hivo wengine wanakuwa hawasiki hamu wengine wanasikia hamu zaidi ila kuna lubricant za kila aina waweza tumia ila kwa ushauri zaidi kamuone DAKTARI
   
 15. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kaunga, Sijakuelewa hapo kwenye RED...
   
 16. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Jamani mi mnanikira kimawazo mi bado umri haujafika kujadili masuala ya
  uzinzi,tendo la ndoa ,kufanya mapenzi ,ngono na vitu kama hivyo mpaka nioe
   
 17. M

  Malolella JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Anamaanisha wanawake wengine wakiwa wajawazito hutaka sex masaa 24 au kila siku. Hapa kunakaukweli fulani. Mimi nina bahati mbaya coz mimba yamkewangu haitaki sex bt anataka awe namimi muda wote bila kufanya sex.
   
 18. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Dah...hiyo kali....si utadondoka njiani??
   
 19. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Endelea kujifunika na hilo sweta mwaya wasijekukuharibu ...Lakini kama umri bado chabo za nini sasa?? Si unaona sasa madhara yake?? Ukome....
   
Loading...