Maumivu niliyonayo najuta kuingia kwenye mapenzi, nifanye nini?

Sema nini mwana we ni bonge moja la boya yaani boonge la bwege yaani kwenye lile kundi la wavulana wajinga wewe ni mkuu wao, unathubutu kusema umejadiliana na mkeo namna ataachana na bwanaake? Kweli? Yafaa amlete kitandani kwako ukute kakunjwa kama mlemavu ili ukunywe kimatire upite hivi maana katika mizigo we ni mzigo wa gunia la misumari. Ushauri wangu huyo usimwache mpaka siku aliwe kitandani kwako
 
yaani kwenye lile kundi la wavulana wajinga wewe ni mkuu wao
 
NAENDELEA......
Leo natimiza week bila yeye, Niliamua kumtimua Baada ya pale, Tatizo limekuwa Mazoea, Jamani Mazoea yananitesa kuliko hata mapenzi, Niliamua kuachana nae rasmi baada ya kugundua week iliyopita kuwa ametoka kulala na jamaa, Dah asee Ile moment sitoisahau wakuu sijawahi kuumia kiasi kile, Nililia kama mtoto, kwani niliamini kwamba hakutakuwa na uwezekano Tena wa kurudiana nae, Kwa Sasa amebakiza vitu vyake baadhi vya kuja kuvichukua, Na jmosi hii ndo anavifuata, Bado siamini natamani iwe ndoto, Kwani Mary niliempenda sana, Pesa imefanya kanisaliti Mwanaume nilieishi nae kwa miaka minne PikaPakua tukivumiliana na mapungufu mbalimbali Leo anaondoka nyumbani kwa mabavu Tena bila Kuonesha kujutia, Anaonekana ni muda alikuwa akiusubiri Toka alipoona Jamaa yule ndo chaguo lake Na katika show yao ya kwanza jamaa alimpatia Dolla 100, Nilijua Hilo maana baada ya kujua kuwa wameshalala pamoja basi mwanamke alinihadithia ukweli wote kabisa, Ni ngumu kwangu Hadi muda huu kwani nikikumbuka moments tulizopitia zinaniliza, Nakubali mnione dhaifu na mwanaume nisifaa kwa jamii lakini huyu mwanamke alinishika ipaswavyo...... Juzi alinipigia kuniambia ni lini atajia vitu vyake Jambo lililofanya tujikute tukipiga story mbili tatu, anadai maji alishayavulia Nguo Hana budi kuyaoga ila alichotegemea kwa Jamaa kimekuwa tofauti, Anadai jamaa kucare anajua, ila Tatizo lipo kwenye show Yaani hamridhishi, Kwa kumuelewa ni kwamba anataka kutengeneza mazingira ili hata kama anatengana na mimi ila asikose utamu wa show zangu Yaani atumiliki wote wawili Mimi na jamaa Yaani awe na mtu wa kumcare ambae ni jamaa alafu Mimi niwe wa kumtimizia haja zake za kingono (Hapa nataka mniambie pia je, nisahihi?)

Nataka kuondoa huu msamiati "Mazoea" ambao umekuwa ukinitesa, Kumsahau nashindwa kabisa Yaani nipo kwenye level ambayo ikitokea kwa sasa akanihakikishia kuachana na jamaa basi namrudisha ndani, Ubachela unanitesa wakuu aijazoea kabisa.

Wazazi wetu wote wameshajua kuhusu yaliyojiri na wameridhia Tuachane tu.

Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
Mdogo angu move on tu hayo mambo yalishawahi Nikuta bro ako hapa naona unataka kuteseka zaidi ukimrudia mwanamke aliyeshindwa kukueshimu wanini afu unakubalije kushea huku anakuambia izo no zarau trust me huyo mtu hawezi change
 
Kweli mkuu, nazingatia na ndo naendelea kuzingatia hapa kweli kabisa nishakubaliana na Hali, japo ni ngumu lakini naelekea kuweza Sasa, ujue ishu ni kuwa nilimzoea sana imagine PikaPakua miaka 3 Sasa then kama surprise Ile mtu kabadilika then kwa kosa kubwa kama Hilo asee sio rahisi ujue.

Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
 
wewe jamaa hongera kwa kukipata kile ulichokitafuta, nini kina kutuma kuhangaika na simu ya mwanamke, amini kwamba kila mtu ana ubaya uliofichika, unayaona mabaya ya mkeo sababu upo bize kuyatafuta.
 
NAENDELEA......
Leo natimiza week bila yeye, Niliamua kumtimua Baada ya pale, Tatizo limekuwa Mazoea, Jamani Mazoea yananitesa kuliko hata mapenzi, Niliamua kuachana nae rasmi baada ya kugundua week iliyopita kuwa ametoka kulala na jamaa, Dah asee Ile moment sitoisahau wakuu sijawahi kuumia kiasi kile, Nililia kama mtoto, kwani niliamini kwamba hakutakuwa na uwezekano Tena wa kurudiana nae, Kwa Sasa amebakiza vitu vyake baadhi vya kuja kuvichukua, Na jmosi hii ndo anavifuata, Bado siamini natamani iwe ndoto, Kwani Mary niliempenda sana, Pesa imefanya kanisaliti Mwanaume nilieishi nae kwa miaka minne PikaPakua tukivumiliana na mapungufu mbalimbali Leo anaondoka nyumbani kwa mabavu Tena bila Kuonesha kujutia, Anaonekana ni muda alikuwa akiusubiri Toka alipoona Jamaa yule ndo chaguo lake Na katika show yao ya kwanza jamaa alimpatia Dolla 100, Nilijua Hilo maana baada ya kujua kuwa wameshalala pamoja basi mwanamke alinihadithia ukweli wote kabisa, Ni ngumu kwangu Hadi muda huu kwani nikikumbuka moments tulizopitia zinaniliza, Nakubali mnione dhaifu na mwanaume nisifaa kwa jamii lakini huyu mwanamke alinishika ipaswavyo...... Juzi alinipigia kuniambia ni lini atajia vitu vyake Jambo lililofanya tujikute tukipiga story mbili tatu, anadai maji alishayavulia Nguo Hana budi kuyaoga ila alichotegemea kwa Jamaa kimekuwa tofauti, Anadai jamaa kucare anajua, ila Tatizo lipo kwenye show Yaani hamridhishi, Kwa kumuelewa ni kwamba anataka kutengeneza mazingira ili hata kama anatengana na mimi ila asikose utamu wa show zangu Yaani atumiliki wote wawili Mimi na jamaa Yaani awe na mtu wa kumcare ambae ni jamaa alafu Mimi niwe wa kumtimizia haja zake za kingono (Hapa nataka mniambie pia je, nisahihi?)

Nataka kuondoa huu msamiati "Mazoea" ambao umekuwa ukinitesa, Kumsahau nashindwa kabisa Yaani nipo kwenye level ambayo ikitokea kwa sasa akanihakikishia kuachana na jamaa basi namrudisha ndani, Ubachela unanitesa wakuu aijazoea kabisa.

Wazazi wetu wote wameshajua kuhusu yaliyojiri na wameridhia Tuachane tu.

Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app

Ww ni mjinga, hujiamini na huna msimamo. Mtu amekuonesha kabisa amekudharau bado unamlilia .
 
Piga chini hiyo ngese.. acha kuremba. Kuwa mwanaume jamaa angu naelewa maumivu unayooitia naelewa pia unampenda sana huyo kahaba ila jikaze piga chini. Utamsahau tu
 
NAENDELEA......
Leo natimiza week bila yeye, Niliamua kumtimua Baada ya pale, Tatizo limekuwa Mazoea, Jamani Mazoea yananitesa kuliko hata mapenzi, Niliamua kuachana nae rasmi baada ya kugundua week iliyopita kuwa ametoka kulala na jamaa, Dah asee Ile moment sitoisahau wakuu sijawahi kuumia kiasi kile, Nililia kama mtoto, kwani niliamini kwamba hakutakuwa na uwezekano Tena wa kurudiana nae, Kwa Sasa amebakiza vitu vyake baadhi vya kuja kuvichukua, Na jmosi hii ndo anavifuata, Bado siamini natamani iwe ndoto, Kwani Mary niliempenda sana, Pesa imefanya kanisaliti Mwanaume nilieishi nae kwa miaka minne PikaPakua tukivumiliana na mapungufu mbalimbali Leo anaondoka nyumbani kwa mabavu Tena bila Kuonesha kujutia, Anaonekana ni muda alikuwa akiusubiri Toka alipoona Jamaa yule ndo chaguo lake Na katika show yao ya kwanza jamaa alimpatia Dolla 100, Nilijua Hilo maana baada ya kujua kuwa wameshalala pamoja basi mwanamke alinihadithia ukweli wote kabisa, Ni ngumu kwangu Hadi muda huu kwani nikikumbuka moments tulizopitia zinaniliza, Nakubali mnione dhaifu na mwanaume nisifaa kwa jamii lakini huyu mwanamke alinishika ipaswavyo...... Juzi alinipigia kuniambia ni lini atajia vitu vyake Jambo lililofanya tujikute tukipiga story mbili tatu, anadai maji alishayavulia Nguo Hana budi kuyaoga ila alichotegemea kwa Jamaa kimekuwa tofauti, Anadai jamaa kucare anajua, ila Tatizo lipo kwenye show Yaani hamridhishi, Kwa kumuelewa ni kwamba anataka kutengeneza mazingira ili hata kama anatengana na mimi ila asikose utamu wa show zangu Yaani atumiliki wote wawili Mimi na jamaa Yaani awe na mtu wa kumcare ambae ni jamaa alafu Mimi niwe wa kumtimizia haja zake za kingono (Hapa nataka mniambie pia je, nisahihi?)

Nataka kuondoa huu msamiati "Mazoea" ambao umekuwa ukinitesa, Kumsahau nashindwa kabisa Yaani nipo kwenye level ambayo ikitokea kwa sasa akanihakikishia kuachana na jamaa basi namrudisha ndani, Ubachela unanitesa wakuu aijazoea kabisa.

Wazazi wetu wote wameshajua kuhusu yaliyojiri na wameridhia Tuachane tu.

Sent from my TECNO CD6j using JamiiForums mobile app
Hama hapo mlipokuwa mnaishi ,sajili line mpya ya simu itambulishe kwa watu wako wa karibu na wateja wako wa biashara hlf line ya zamani itelekeze.

Amini nakuambia huyo Mary amekupunguzia mzigo mkubwa sana.

Mwanzo ni mgumu lkn kila safari huanza na hatua moja.
 
Back
Top Bottom