Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,117
- 49,474
Oooh pole sanaHapana haukosi nguvu hata asubuhi nimejog ni kifuani ndani maeneo ya maziwa kwa ndani
Oooh pole sanaHapana haukosi nguvu hata asubuhi nimejog ni kifuani ndani maeneo ya maziwa kwa ndani
Mkuu kipimo ni kusikilizwa uhemaji wako hasa kwenye mbavu (utoaji na uvutaji)wa hewa.Nakuombea upate Dk mzuri natumai utapona mkuu.Mkuu kipimo ni kipi damu au xtray
asante mkuuMkuu kipimo ni kusikilizwa uhemaji wako hasa kwenye mbavu (utoaji na uvutaji)wa hewa.Nakuombea upate Dk mzuri natumai utapona mkuu.
Itakuwa vizuri zaidi. Ni haki yako mgonjwa kupata maelezo ya kina na yaku rudisha kabla yakuondoka kwenye chumba cha daktari. Ila kiukwel kifua hatupimi damu cha zaidi ni kusikiliza milion ya mapafu. Pia dhana yaku sema kuwa waweza kuwa asthmatic nai kataa.Mkuu kilichonifanya mimi kutamani kulia kwa jibu la jamaa ni kutojua anamjibu mtu ambaye ni layman kwenye tiba ,ndo maana naomba ushauri sasa ukianza kukejeli kutojua kwangu kikweli unaharibu ,basi nami narudi kwa daktari mwenzio kumueleza yaliyojiri kwa hatua zaidi,akhsante
Mkuu hadi wewe una pumu!!!! Aisee ukipata dawa ya kutibu nijulishe na mie nitumieJapo Mimi siyo Daktari ila nahisi kama vile kwa hizo dalili zako utakuwa tatizo langu ambalo huwa linanitesa sana la Pumu ( Asthma ) Nashauri wahi katika Kituo chochote cha Afya kilichopo karibu nawe ili wakakuangalie na upate Tiba kwani hatutaki Kukupoteza mpiga Kura Wewe wa Kitanzania.
Habari yako dada... ushauri wako ni mzuri..ila nina swali kwako.hiyo hali ilinikuta siku maalum ya harusi yetu! niliumwa sana ht kupumua naumia,ht kukapakata katoto kangu kanyonye nashindwa !nilijua nakufa kbs siku ile !nikapewa doxy na sindan juu !
yaan mbaya sana !sasa hv ht baridi liwejeee hapa nimevaa mtandio tu na kuna bonge la wingu!
pole sana hyo pumu !jiprotect vya kutosha
Mkuu hadi wewe una pumu!!!! Aisee ukipata dawa ya kutibu nijulishe na mie nitumie
Habari yako dada... ushauri wako ni mzuri..ila nina swali kwako.
Je? Kila anaye banwa na kifua naku shindwa kuhema yuko asthmatic?
Vp mgonjwa wa pneumoniae awezi banwa na kifua nakushindwa hema?
Vp? Mgonwa wa pulmonary tuberculosis (tb) naye awez pata dalili kama izo!?
Jibu ni kwamba ina wezekanika... ila kwa asthma napinga maana ni ugonjwa severe sana saiv ina wezekana tungesha mkosa kwa muda alio kaa bila dawa.
No,sijamaanisha hivyo mkuu ,nielewe niliguswa kwa vile hata mie ni muhangaKuna Watu ' Maalum ' labda Mwenyezi Mungu aliwaumba kuwa hawatakiwi kuwa na tatizo la ' Pumu ' hapa duniani?
Mkuu hadi wewe una pumu!!!! Aisee ukipata dawa ya kutibu nijulishe na mie nitumie
Bado sijaipata Dadawe husna si nilikushari ujarib ile dawa?? duh hupo seriuos !mie na mawingu haya ndo ilikuwa worse zaid!baadaye ikaja kwa hali zote !anywys kupanga ni kuchagua
Japo Mimi siyo Daktari ila nahisi kama vile kwa hizo dalili zako utakuwa tatizo langu ambalo huwa linanitesa sana la Pumu ( Asthma ) Nashauri wahi katika Kituo chochote cha Afya kilichopo karibu nawe ili wakakuangalie na upate Tiba kwani hatutaki Kukupoteza mpiga Kura Wewe wa Kitanzania.
Mimi sio daktari;Nimekuwa na maumivu ndani ya kufua na nyuma ya mgongo na nikivuta hewa kuna kama vichomi hivi,nilienda hospitali wakanipa diclopar na vidonge vya antibiotic wakidai nina pneumonia ,
Nikakomaa na dozi wiki na nusu maumivu yakawa kwa mbali baada ya dozi kuisha ndani ya wiki ngoma imerudi pale pale ,nikaenda tena hospitali wananambia wanipe tena vidonge nimeondoka hata dawa sijachukua wakuu ,hebu nishaurini kuna mtu kanambia nichomwe sindano zitasaidia haraka
Pumu kaka nitafute nipo Dar ni jaribu kukusaidia.
Mungu akubariki sana wewe na uzao wako.Mimi sio daktari;
Maumivu ya namna hiyo yanaweza kuwa ama ni chembo moyo,kiungulia au ni dalili za mwanzo za vidonda vya tumbo.Pia inaweza kuwa pneumonia au angina.Kwa kwaida pneumonia huwa inkuwa na homa pia.Kama hupati homa basi jaribu kufikiria kama unaweza kuwa na vidunda vya tumbo anagali kama mamumivu hayo yanatokea unapokula vyakula vya ina fulani hasa vyakula vichachu.Kama ni kiungulia pia angalia kama kuna vyakula vina sababisha hiyo kama nic chembe ya moyo angalia kama unapokuwa na mshtuko maumivu yanakuwa makali zaidi.Pembeni ya tiba ya pneumonia unaweza tafuta tiba za tumbo kama dawa za antacid/antiflatulent.Ni vizuri umeona daktari wako kabla ya kufanyia ushauri huu kazi