Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

Najileta kwenu wataalamu ni wiki ya pili sasa na dalili hizi

-Nimekuwa na maumivu ndani ya kufua na nyuma ya mgongo na nikivuta gewa kuna kama vichomi hivi,nilienda hospitali wakanipa diclopar na vidonge vya antibiotic wakidai nina pneumonia ,nikakomaa na dozi wiki na nusu maumivu yakawa kwa mbali baada ya dozi kuisha ndani ya wiki ngoma imerudi pale pale ,nikaenda tena hospital wananambia wanipe tena mividonge ya aaahggg nimeondoka hata dawa sijachukua wakuu ,hebu nishaurini kuna mtu kanambia nichomwe sindano zitasaidia haraka

Japo Mimi siyo Daktari ila nahisi kama vile kwa hizo dalili zako utakuwa tatizo langu ambalo huwa linanitesa sana la Pumu ( Asthma ) Nashauri wahi katika Kituo chochote cha Afya kilichopo karibu nawe ili wakakuangalie na upate Tiba kwani hatutaki Kukupoteza mpiga Kura Wewe wa Kitanzania.
 
Mkuu niliwahi kupata dalili kama hizo na kutumia doze ya vidonge vya maumivu ila sikupata nafuu, baadaye nilipima ikagundulika ni ammonia kali na kupata doze ya sindano, namshukuru Mungu ugonjwa uliisha mpka leo
 
Mkuu niliwah kupata dalili kama hizo na kutumia doze ya vidonge vya maumivu ila sikupata nafuu, baadaye nilipima ikagundulika ni ammonia kali na kupata doze ya sindano, namshukuru Mungu ugonjwa uliisha mpka leo
Mkuu kipimo ni kipi damu au xtray
 
Kwahiyo wamekisia tu.!? Duh! Bongo kila kitu ubabaishaji tu
Kuna wakati unaweza soma post ya mtu ukatamani kulia yani..pneumonia ulitaka ipimwe vp wakat ni sound jinsi unavyo hema ndivyo zinazo weza sema unayo hau hauna !! MTU anaweza kuwa na kikohoz kikavu utapima nn!? Atleast awe na productive unaweza tuma sputum ( makohozi) lab kufanyiwa gram stain na culture ili kudetect aina ya bacteria wanao sumbua.

Nirudi kwa mtoa mada The only yawezekana dawa ulizo pewa nmekuwa resistance na aina ya bacteria ulio nao na ndio maana huoni matokeo +. Kuna bacteria unakuta ni gram negative ivyo unakuta wana tibika na sindano kama powercef ( ceftriaxone) wakat x-pen inakuwa haina majibu mazuri. Pia hosptal tuna Utaratibu wakutoa dose ndogo kwenda kubwa kwa sababu maalumu. Ivyo fata utaratibu na maelezo ya daktar.
 
mimi ninashida mbavu zinauma halafu ninamakoozi kutoka puani mpaka kifua hayaishi hata nikohoa kwa nguvu hayatoki
 
Kuna wakati unaweza soma post ya mtu ukatamani kulia yani..pneumonia ulitaka ipimwe vp wakat ni sound jinsi unavyo hema ndivyo zinazo weza sema unayo hau hauna !! MTU anaweza kuwa na kikohoz kikavu utapima nn!? Atleast awe na productive unaweza tuma sputum ( makohozi) lab kufanyiwa gram stain na culture ili kudetect aina ya bacteria wanao sumbua.

Nirudi kwa mtoa mada The only yawezekana dawa ulizo pewa nmekuwa resistance na aina ya bacteria ulio nao na ndio maana huoni matokeo +. Kuna bacteria unakuta ni gram negative ivyo unakuta wana tibika na sindano kama powercef ( ceftriaxone) wakat x-pen inakuwa haina majibu mazuri. Pia hosptal tuna Utaratibu wakutoa dose ndogo kwenda kubwa kwa sababu maalumu. Ivyo fata utaratibu na maelezo ya daktar.
Mkuu kilichonifanya mimi kutamani kulia kwa jibu la jamaa ni kutojua anamjibu mtu ambaye ni layman kwenye tiba ,ndo maana naomba ushauri sasa ukianza kukejeli kutojua kwangu kikweli unaharibu ,basi nami narudi kwa daktari mwenzio kumueleza yaliyojiri kwa hatua zaidi,akhsante
 
Hiyo hali ilinikuta siku maalum ya harusi yetu! niliumwa sana hata kupumua naumia,hata kukapakata katoto kangu kanyonye nashindwa !nilijua nakufa kbs siku ile !nikapewa doxy na sindan juu !
yaan mbaya sana !sasa hv ht baridi liwejeee hapa nimevaa mtandio tu na kuna bonge la wingu!

pole sana hyo pumu !jiprotect vya kutosha
 
hiyo hali ilinikuta siku maalum ya harusi yetu! niliumwa sana ht kupumua naumia,ht kukapakata katoto kangu kanyonye nashindwa !nilijua nakufa kbs siku ile !nikapewa doxy na sindan juu !
yaan mbaya sana !sasa hv ht baridi liwejeee hapa nimevaa mtandio tu na kuna bonge la wingu!

pole sana hyo pumu !jiprotect vya kutosha
mimi steseki kupimua ila ninamaumivu kwa ndani ya kifua yanachoma kama kichomi ,kiukweli nakoma
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom