Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

Naomba msaada wa tiba au ushauri kwa hili tatizo linalomsumbua wife. Kila ifikapo kipindi cha ovulation huwa tumbo kwa chini linamuma sana na huwa anasikia maumvivu kiunoni na vichomi.
 
Mkuu tumbo kuuma kwa m/ke linatokana na 7bu zifuatazo!
1.Hafiki kileleni
2.Dushelele kubwa
3.Maambukizo kwenye via za uzazi
 
Mkuu tumbo kuuma kwa m/ke linatokana na 7bu zifuatazo!
1.Hafiki kileleni
2.Dushelele kubwa
3.Maambukizo kwenye via za uzazi

1.kileleni huwa anafika zaidi ya mara mbili kila nikiduu goli moja pia namaandaa vya kutosha na anakojoa hata kabla sijatumbukiza dushelele,ili tatizo sio kila wakati ni akiwa kwenye ovulation tu haswa siku ya 13&14

2.Dushelele lipo size ya kati, mwanzoni kabla hajalizoea lilikuwa linampa tabu, ila sasa kashakuwa expert.
3.kuhusu maambukizo sina hakika hadi nikafanye vipimo
 
Mkuu hope mkeo bado hajazaa. Hili ni tatizo kubwa kwa wadada wengi. Wife lilikuwa linamsumbua sana pia lakini baada ya kujaliwa kupata mtoto limepungua karibu na kuisha kabisa. Kwahiyo kama hajazaa basi fanya fastafasta apate mtoto umpunguzie mateso hayo. Wasalamu.
 
Mkuu tayari nilishafa yangu tuna kabinti cha miaka 3 ila wife alizaa kwa kisu,kuna wamama waniambia ni chango hivyo tumbo linaitaji mtoto but kwa sasa sina mpango na mtoto coz niliyenae bado mdogo,huwa alimsumbui siku zote ila akifika kwenye ovulation ni kimbembe
 
Dah! pengine style unazomkunja ndizo zinampelekea kupata maumivu, ila usijali akipita hapa MziziMkavu atakupa darasa zuri zaidi.

Mkuu wife usipomkunja vizuri wakware watakusaidia,parfomance kwa wife inatakiwa iwe ya hali ya juu.
Ingelikuwa ni kumkunja ndo sababu hili tatizo lingekuwa linamtokea kila nikimtindua, ila humtokea akiwa kwenye ovulation tu
Ok ngoja nimsubiri mzizimkavu labda anaweza kunipa kamzizi kakawa tiba.,ukikutanana nae kule jf photos mwambie msaada wake unaitajika huku
 
Mkuu tumbo kuuma kwa m/ke linatokana na 7bu zifuatazo!
1.Hafiki kileleni
2.Dushelele kubwa
3.Maambukizo kwenye via za uzazi
hiyo ya blue do ndo nimeisikia leo maybe ngoja niendelee kujifunza, so ina maana wanawake ambao hawajaolewa wala hawajihusishi na mapenzi ina maana matumbo yao yanawatesa yaani naimagine kwamba wanatembea na magnesium kwenye handbag zao
 
Kaka hilo linaitwa chango, kama nyumbani yaan kijijini sio mbali, jitahidi kutafuta wataalamu wa mitishamba, wao watajua ni chango la namana gani basi watampatia dawa!! Ni kama ngiri kwa mwanaume!!
 
Kaka hilo linaitwa chango, kama nyumbani yaan kijijini sio mbali, jitahidi kutafuta wataalamu wa mitishamba, wao watajua ni chango la namana gani basi watampatia dawa!! Ni kama ngiri kwa mwanaume!!

Itabidi nimface ndugu yeyote wa kijijini kwetu,sie watoto tuliye zaliwa mjini tunakosa mengi sana, vp hospital hakuna dawa ya chango mkuu,coz ngiri dawa yake ni upasuaji! je chango nalo litaitaji kisu
 
mkuu nenda hospitali akafanyiwe vipimo. Hebu achana na waganga wa kienyeji. Kuna sababu nyingi zinazosababisha lower abdominal pain.
 
mkuu nenda hospitali akafanyiwe vipimo. Hebu achana na waganga wa kienyeji. Kuna sababu nyingi zinazosababisha lower abdominal pain.

Asante mkuu nami huwa siwahamini waganga wa kienyeji,ila tiba mbadala pia zipo ambazo sio zile za ramli kama vile tangawizi,asali,saumu na majani/mizizi ya miti ya miti,hosp nako ni sawa
 
Naomba msaada wa tiba au ushauri kwa hili tatizo linalomsumbua wife.
kila ifikapo kipindi cha ovulation huwa tumbo kwa chini linamuma sana na huwa anasikia maumvivu kiunoni na vichomi.

Mpe pole mkeo,mimi pia Nina the same problem during ovulation napata the same pain ila yanaisha baada ya siku moja au masaa fulani,huo Sio ugonjwa the condition is known as Mittelscherz pain it happens to some women,
maumivu yakizidi anywe painkillers to wala msihangaike.
 
Naona tumempuuza jamaa wa dushelele kubwa na kutofika kileleni pana ukweli hapo ati wadau
 
singaile sio kweli na havina uhusiano kabisa na ovulation. Mie Housegirl wangu huwa linamsumbua hivyo lakini anatumia painkillers linatulia. Ingawa nae ameambiwa mpaka atakapozaa litaacha kuuma
 
Mpe pole mkeo,mimi pia Nina the same problem during ovulation napata the same pain ila yanaisha baada ya siku moja au masaa fulani,huo Sio ugonjwa the condition is known as Mittelscherz pain it happens to some women,
maumivu yakizidi anywe painkillers to wala msihangaike.

Unachosema nikweli, nilimwambia leo awahi hospatal lakini ananimbia maumivu yamepungua hivyo kapotezea kwenda,
yaani inakera sana akifika kwenye ovulation,kizazi kinashuka chini ute unamshuka,nyenge ndo usiseme anataka kuduu,ila ukigusa tu maumivu hayapimiki na dushelele ikiingia nusu unagusa kizazi hivyo ni full kikesha ukiliwaza,
Je mwenzangu huwa anakutreat kivipi during that period
 
Mimi ni mgeni wa haya mambo. Sina la kukushauri. Ngoja nisome comment za watu tu.
 
Mkuu Fidelis big Pole sana kwa hayo matatizo ya mke wako Mwambie atumie hii dawa (combined oral contraceptive pills,) natumaini hana mpango wa kuzaa kwa sasa, hizi nazo zimethibitishwa kufanya kazi vizuri, hupunguza maumivu ya hedhi, hupunguza kiasi cha damu kinachotoka na vile vile hupunguza duration ya menses.

Na dawa za Kienyeji anywe maji ya Uvuguvugu yaliyochanganywa na kijiko kimoja cha Asali mbichi safi ya nyuki itamsaidia hiyo dawa.

Basii!!!! umemaliza kazi mkuu dryroot,nimekusubiri sana pande hizi uje ukamilishe jukumu lako mkuu,sasa naona kipele kimepata mkunaji! naona mbuzimzee na boflo walikubana kule kwenye lile jukwaa lenu la kujidai? bora umekimbia uje kuokoa jahazi.
Advice taken and considered,senkuuu veri machi dryroot:target:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom