Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

Pole mpendwa....
Maumivu ni kawaida in periods,
especially kama bado hujazaa, na si kama ni tatizo,
changes in hormones, hali ya hewa, hata mazingira vinaweza kuchangia kupata maumivu,
Srong painkillers zinaweza kusaidia though not advised in many cases,
coz once zikishazoea mwilini zinatengeneza immunity kiasi kwamba unaweza kufika wakati zikawa
hazikusaidii kabisa.

Jaribu kufanya mazoezi zaidi, relax...avoid too much stress as sometimes inachangia pia kwa mabadiliko hayo kipindi
cha periods, pale unapooana maumivu yamekuzidia try and see Prof. Mgaya, ni gaenocologist, atakusaidia
Anapatikana Muhimbili or katika clinic yake - Maria Clinic ipo Namanga.

Pole sana.
 
Enzi zetu zile, wasichana ambao waliokuwa wakipata maumivu wakati wa hedhi, walikuwa wanaambiwa wavumilie mpaka watakapo olewa!

Ikiaminiwa kwamba, watakapopata ujauzitio na kujifungua, basi vipindi vyao vya kupata hedhi vitabadilika na hata yale maumivu uwenda yakatoweka, kutokana na mabadiliko ya hormone.
 
nimezaa watoto 2 lkn siku ikifika kama nusu uchungu wa kuzaa,nitaharisha,tapika,miguu itauma,sito kula.sikushauri uzae kama hauko tayari kwani haita kusaidia,tumia dawa za kupunguza maumivu,mimi hutumia dawa za kupunguza maumivu
 
PMS- Shida Wakati wa Hedhi

Wanawake wengi huwa na mabadiliko ya kimwili na hisia kabla, baada na wakati wa hedhi. Haijulikani vizuri ni nini kinachosababisha PMS. Dalili huja wiki moja au mbili kabla ya hedhi. Watu wengi hutoa mzaha kuhusu PMS na hawaichukulii kwa uzito. Ukweli ni kuwa hali hii huweko. Waweza kuwa hamu kubwa ya chakula fulani, kuumwa na matiti, kuvimba mwili na mabadiliko katika hisia.
Ishara zake ni zipi?
  • Kubadilika kwa hisia
  • Kukasirika upesi
  • Kulia bila sababu
  • Kuwa na wasiwasi
  • Tamaa ya chakula
  • Maumivu tumboni au mgongoni
  • Kufura au kuumwa na matiti
  • Kuvimba mwili
Utatibu vipi PMS?

Kati ya wanawake 5 mmoja ana PMS. Mabadiliko ya hormone huleta dalili za PMS. Kuna mambo unaweza kufanya ilikukufanya uwe na raha.
  • Kula vyakula bora vya kujenga mwili
  • Pumzika, fanya mazoezi ya uvutaji pumzi ndani na nje
  • Meza dawa za kutuliza maumivu kama Panadol
  • Tumia chupa yenye moto kujikanda sehemu ya tumbo inayouma
  • Mueleze daktari wako maumivu yakizidi.
 
Pole sana dada, cha muhim tumia dawa za maumivu pia issue ya kuzaa nikweli lakini sidhani kama nimuhim sana kwako kuzaa bila kupanga ili tu upone, nakushauri kama kuna mama yeyote wa kihaya unamjua mwambie anaweza akakutaftia dawa ya mitishamba believe me utapona.

wahaya wana dawa nyingi sana na wala hawazitoi kwa waganga wa kienyeji no wanazipanda tu kama maua majumbani kwao huezi hata kujua nidawa, please jaribu ninajua vizuri ni jinsi gani hilo tumbo linavouma, pole sana wengine unaumwa mpaka unalazwa its bad kwa kweli, so jaribu kufanya hivyo kwanza nakwambia watakuchumia majani hayo na unakunywa, kama vipi hope unaogopa kabla ya kunywa taja jina la mungu.
 
Pole sana Hope 2, nakushauri utumie dawa inayoitwa Joy inapatikana pale Ubungo plaza ground floor kwa bwana mmoja anaitwa Dr. Buberwa. Sisterz wangu wangi wameponea hapo. plz jaribu vinginevyo beba mimba...

Nashukuru sana kwa ushauri wako, nitaenda pale nisikilize ushauri wao na nione kama dawa zao zitanifaa. Ubarikiwe sana Mkuu.
 
nimezaa watoto 2 lkn siku ikifika kama nusu uchungu wa kuzaa,nitaharisha,tapika,miguu itauma,sito kula.sikushauri uzae kama hauko tayari kwani haita kusaidia,tumia dawa za kupunguza maumivu,mimi hutumia dawa za kupunguza maumivu

Asante sana Kobonde, naogopa kutumia sana dawa maana najua mwisho wa siku zinaweza kuniletea matatizo, especially artificial medcn..
 
Mamushka,

Asante sana Mamushka ngoja nimtafute Mama wa Kihaya atanisaidia maana naamini dawa za majani hazina madhara ya baadae mwilini, naona hii inaweza kunifaa kulikoni kutumia dawa za kutuliza maumivu kila mwezi ambazo zinaweza kujenga sumu fukani mwilini mwangu.
 
pole sana dada, vipi kwa wale wanapatwa maumivu baada ya kutokewa na miscarriage? kwani unakuta mwanzo walikuwa normal ila baada ya miscariagge wanapatwa na maumivu sana na mimba haipatikani tena. wanaweza kutumia nini? samahani mimi na dokta mgemni kiasai katika fani nimekutana na hiyo case sasa natafutia uvumbuzi
 
Menstrual Problems causes: Symptoms, causes, remedy and diet.

Premenstrual Tension and Menstrual Cramps
A few days before menstruation, some women become nervous and irritable. They suffer from depression, headaches, fullness in the breasts, insomnia, and swelling in the lower extremities. This may be due to a hormonal imbalance. These problems cease within twenty-four hours of the start of the menstrual flow.

Dysmenorrhoea
Painful menstruation, as it is called in medical parlance, is a common condition. The pain may be felt either two or three days before or immediately before or during the flow. This may also be due to a hormonal imbalance.

Amenorrhoea or Stoppage of Menstrual Flow
This is natural during pregnancy and at the menopause, but abnormal at any other time. It denotes a debilitated and devitalized condition of the body. The main causes contributing towards this condition are anemia, worry, grief, fright, or other serious emotional disturbances; malformation of the womb; tuberculosis; displacement of the womb; and debility, especially after a serious illness.

Menorrhagia or Excessive Menstrual Flow
This is common in some women. A variety of causes may be responsible for this trouble, including fibroids.

Home Remedies for Menstrual Problems

Menstrual Problems treatment using Parsley

Parsley is one of the most effective among the several home remedies in the treatment of menstrual disorders. It increases menstruation and assists in the regularization of the monthly periods. This action is due to the presence of apiol, which is a constituent of the female sex hormone estrogens. Cramps, which are a result of menstrual irregularities, are relieved and frequently corrected entirely by the regular use of parsley juice, particularly in conjunction with beet juice; or with beet, carrot, and cucumber juices. The recommended quantity is 75 ml of each of the four juices.

Menstrual Problems treatment using Ginger

The use of ginger is another effective home remedy for menstrual disorders, especially in cases of painful menstruation and stoppage of menstrual flow. A piece of fresh ginger should be pounded and boiled in a cup of water for a few minutes. The infusion, sweetened with sugar, should be used thrice daily after meals as a medicine for treating this condition.

Menstrual Problems treatment using Sesame Seeds

Sesame seeds are valuable in menstrual problems. Half a teaspoon of powder of these seeds, taken with hot water twice daily, acts excellently in reducing spasmodic pain during menstruation in young, unmarried anaemic girls. Its regular use, two days prior to the expected periods, cures scanty menstruation. A warm hip bath containing a handful of crushed sesame seeds should be simultaneously taken along with this recipe.

Menstrual Problems treatment using Papaya

The unripe papaya helps the contractions of the muscle fibres of the uterus and is thus beneficial in securing a proper menstrual flow. Papaya is especially helpful when menstruation ceases due to stress or fright in young unmarried girls.

Menstrual Problems treatment using Bengal Gram

A bath prepared by putting an entire Chickpea plant in hot water is beneficial in painful menstruation. The plant also may be used for a sitting steam bath.

Menstrual Problems treatment using Marigold

The herb Marigold, named after the Virgin Mary, is useful in allaying any pain during menstruation and facilitating menstrual flow. An infusion of the herb should be given in doses of one tablespoon twice daily for the treatment of these disorders.

Menstrual Problems treatment using Banana Flower

The use of banana flower is one of the most effective home remedies in the treatment of menorrhagia or excessive menstruation. One banana flower should be cooked and eaten with one cup of curd. This will increase the quantity of progesterone and reduce the bleeding.

Menstrual Problems treatment using Coriander Seeds

Coriander seeds are also beneficial in the treatment of excessive menstruation. Six grams of these seeds should be boiled in half a litre of water. This decoction should be taken off the fire when only half the water remains. Sugar candy should be added to it and the patient should drink it when it is still warm.

Menstrual Problems treatment using Mango Bark

The juice of the fresh mango bark is another valuable remedy for heavy bleeding during menstruation. The juice is given with the addition of white of an egg or some mucilage- a kind of vegetable glue obtained from a plant, and a small quantity of the kernel of a poppy. As an alternative, a mixture of 10 ml of a fluid extract of the bark, and 120 ml of water may be given in doses of one teaspoon every hour or two.

Menstrual Problems treatment using Ashoka

The bark of the Ashoka tree is an effective remedy for excessive blood loss during the monthly period which occurs due to uterine fibroids and other causes. It should be given in the form of decoction in treating this condition. About 90 gm of the bark should be boiled in 30 ml of milk and 360 ml of water till the total quantity is reduced to about 90 gm. This quantity should be given in one day, in two or three doses. The treatment should commence from the fourth day of the monthly period and should be continued till the bleeding is checked. A fresh decoction should be made for use each day.

Menstrual Problems treatment using Indian Barbery

The herb Indian barbery is also useful in case of excessive bleeding. It should be given in doses of thirteen to twenty-five grams daily.

Menstrual Problems treatment using Rough Chaff

The herb rough chaff is also valuable in excessive menstruation. An infusion of the herb should be prepared by steeping 15 gm of rough chaff in 250 ml of water and used for treating this condition.

Menstrual Problems treatment using Hermal

The herb hermal is useful in regulating the menstrual periods. It is especially beneficial in painful and difficult menstruation. Two tablespoons of the seeds should be boiled in half a litre of water, till it is reduced by one - third. This decoction should be given in 15 to 30ml doses.

Menstrual Problems treatment using Hemp

Hemp can be successfully used when menses do not start at the scheduled time. Five large heads of hemps should be boiled in half a litre of water till the water is reduced to half. It should then be strained and drunk before going to bed for two or three nights. This remedy seldom fails.

REFERENCES:
Menstrual Problems: problem menstrual cycles, Menstrual Problems symptoms
Alternative medicine, home remedies for the relief of menstruation |
Hermal, Indian Herb
Hermal
Hermal, Medicinal Properties of Hermal, Peganum Harmala
Painless labor for women and many other cures from rough chaff or Chirchita
Rough Chaff Tree - Achyranthes aspera. Uttaranee, Rough Chaff Tree, Uttaraene, Prickly Chaff Flower, Shiru-kidaladi, Apamarga, Safed hedo, Apamara, Pan- dhara-aghada, Adharajhada, Nayuruvi, Aghada, Latjira, Aghata, Kutri, Antisha, Kune-la- mon, Apama
Rough Chaff - Chirchita, Indian Plant
naturganznah - Barbary Fig, Indian Fig Opuntia ficus-indica
The Herb Pictures Of Ashoka Or Saraca AsocaAyurveda Herbs And Spices India | Ayurveda Treatment India | Ayurveda Center Goa

Fresh Coriander Leaves,Coriander Seeds Powder,Corriander Manufacturers,Suppliers
Medicinal Benefits of Coriander
Magical Banana Flower, Recipe Magical Banana Flower
Herbal Medicine Marigold
Bengal Gram (Chickpea) | Find Me A Cure
Health Benefits Of Parsley
Ayurveda Herbs And Spices India | Ayurveda Treatment India | Ayurveda Center Goa

NOTE: SWAHILI VERSION IS COMING SOON
 
Thanks man...this is very useful!Oh and would it make a difference if I drink tea with ginger instead of hot water with ginger??
 
Thanks man...this is very useful!Oh and would it make a difference if I drink tea with ginger instead of hot water with ginger??

I'm not sure but I think it could be a problem coz when you mix tea leaves with ginger you are making another compound. So, it is better if you take ginger alone!!!
 
this is more than helpfull,I real have zis problem and am on medication,but acc to te Dr weight is a major factor that cause ,so am on special diet and getting beta n beta each day.
 
I'm not sure but I think it could be a problem coz when you mix tea leaves with ginger you are making another compound. So, it is better if you take ginger alone!!!

Thanks alot!Ntaleta feedback baada ya kuona matokeo!
 
Thanks Baba Mtu,hii ishu inanistres sana.
Ubarikiwe.I'll keep you posted.
 
Naomba wasichana wenzangu mnishauri nitumie dawa gani ninapokuwa period ili niweze kuwa ktk hali ya kawaida,kwa sabau tumbo huwa linaniuma sana likiamua,na inaweza tokea siku likiamua natakiwa kwenye vikao muhimu vya kikazi.japo sipendi kuzizoea sana dawa za kupunguza maumivu coz nasikia zina madhara baadaye,lakini itanibidi niwe natumia maumivu yakizidi sana.naomba niambiwe dawa gani itanifaa kuondoa maumivu ya mwezi?
 
Pole mwaya!!!
...Anza kupunguza kiasi cha sukari na chumvi wakati siku zako zinakaribia...kwahiyo kama ni mnywaji mzuri wa soda pumzisha.
...Kunywa maji mengi
...Kanda tumbo na maji ya moto
...Ikianza tu meza dawa za maumivu...Panadol hata moja tu inatosha
...Mazoezi pia yanasaidia....hata kutembea tu
...Mananasi pia yanasaidia
 
My dia wangu alipo jifungua tu na tatizo hilo likawa historia.
vp wewe bado kuzaa?
 
Naomba wasichana wenzangu mnishauri nitumie dawa gani ninapokuwa period ili niweze kuwa ktk hali ya kawaida,kwa sabau tumbo huwa linaniuma sana likiamua,na inaweza tokea siku likiamua natakiwa kwenye vikao muhimu vya kikazi.japo sipendi kuzizoea sana dawa za kupunguza maumivu coz nasikia zina madhara baadaye,lakini itanibidi niwe natumia maumivu yakizidi sana.naomba niambiwe dawa gani itanifaa kuondoa maumivu ya mwezi?

Nakumbuka nilikuwa naumwa sana mpaka nazimia kabisa,ila baada ya kupata katoto sijui hata lilipotelea wapi,ila wakati mwingine kukanda na maji ya moto inasaidia,kuna ile mipira fulani unaweza jaza maji ya moto halafu unalalia sasa sijui kama ipo au la
 
Hiyo ni kawaida kwa tumbo kuuma mpaka mama atakapopata mtoto. Lakini kwa wengine huwa haliachi kabisa.

Kwa baadhi ya akina mama mpaka wanakuwa wazee basi bado linauma. Na kwa wengine huwa linaleta vurugu kabisa, yaani bleeding mpaka mama anashindwa kabisa kutembea.

Jitahidi tu kula pain killers ukiwa katika siku zako ili upate unafuu kidogo mpaka hapo baadae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom