Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

Umeona eeeh!yani ni raha sana na tikitaka kupoza tunabeba mimba almost mwaka mzima unapumzika sasa hao men kila akiona sketi imemvutia mlingoti channel zote zinakamata

Hhhhhaaaaaa, wanaume wao kazi ya kubwa kutafuta pesaa na kututo....... sanaaa
Sisi tuna kazi kubwaa kuzaa kwa uchungu,kila mwezi upae,kazi kweliii kumhando mume kaz zote ni shidaaaaaa
 
Si ni kweli jamani?Nasikia mishipa inakazaa ile mbaya
Maumivu ya raha hayo! Lkn nasikia nyie ndo mnakuwa kwenye shida sana ukigusa hicho kitu kikiwa ktk hali ile! Wanasema hata ukigusa kwa bahati mbaya mahali popote lazima uchafue chupi,eti ni kweli!??
 
Hhhhhaaaaaa, wanaume wao kazi ya kubwa kutafuta pesaa na kututo....... sanaaa
Sisi tuna kazi kubwaa kuzaa kwa uchungu,kila mwezi upae,kazi kweliii kumhando mume kaz zote ni shidaaaaaa

Siku hizi hata sie tunatafuta kwa shida.Na kumhando mume bora upewe mtoto mdogo lakini mwanaume atabiriki
 
Maumivu ya raha hayo! Lkn nasikia nyie ndo mnakuwa kwenye shida sana ukigusa hicho kitu kikiwa ktk hali ile! Wanasema hata ukigusa kwa bahati mbaya mahali popote lazima uchafue chupi,eti ni kweli!??

Endelea na kazi bwana huo ni uongo tu
 
Mimi nilikuwa muhanga wa hayo maumivu yaani yasikie tuu kwa mwingine, manake hata dawa kuna wakati ziligoma kabisa.
Maombi ni silaha jamani, niliombewa na sasa hayo maumivu ni historia kwangu.
DAMU ya YESU ina nguvu jamani... acheni.
Kama wewe ni mkritu nakushauri ukaombewe kama dawa za dunia zitagoma.
 
wapendwa mimi nilikuwa na tatizo hilo pindi niko sekindari kiasi cha kutokwenda darasani. kuna bibi mmoja upande wa mama alipojua alinipa dawa ya miti shamba nkawa nakunywa kwa muda wa miezi miwili kipindi cha period, tatizo lilikwisha mpaka leo aijawahi kuumwa yaani nikiwa period mpaka najiaahau. pia kasaidia watu naowafahamu kama sita. Ambae atakuwa anataka Msaada anitafute pm nijue jinsi ya kumsaidia kupata dawa. poleni sana
.
 
Hivi hizi Sanitarian Clinics kama kwa Dr. Mwaka, Neema herbalist, Dr. Fatherget , Dr. Kibona , huwa wanajitangaza kwenye media mara nyingi kuwa wanatibu haya matatizo ya Periods. Hakuna aliewahi tumia dawa za mmoja wao akapona atoe ushuhuda?
 
Mimi nilikuwa muhanga wa hayo maumivu yaani yasikie tuu kwa mwingine, manake hata dawa kuna wakati ziligoma kabisa.
Maombi ni silaha jamani, niliombewa na sasa hayo maumivu ni historia kwangu.
DAMU ya YESU ina nguvu jamani... acheni.
Kama wewe ni mkritu nakushauri ukaombewe kama dawa za dunia zitagoma.

Mi ktk maisha yangu sijawahi kuumwa jamani nikiwa kwenye mp...
Lkn nashangaa ni hiv karibuni nfo imeanza sijui ni itabidi niende nikamuone dr...
Though maombi siachi
 
Ni vizuri kumwona Dr. Mimi mama yangu alinipelekaga kwa dr. akasema ni hali ya kawaida kutokana na maumbile yangu ikabidi nikubaliane na hali yenyewe. Maombi usiache`, uponyaji wako unaweza pia kuupata kupitia Dr. Kitu kingine, once unapotoa hiyo damu yako hapohapo ifunike kwa Damu ya Yesu. hii tulifundishwa kwenye seminar ya Damu Ya Yesu.
 
Ok
Thanx. ...manaake inanipa mawazo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom