Asante kwa ushauri wako. Nitafuatilia huo uzi. Kazi zangu ni za kukaa muda mrefu zinazohusu kutumia kompyuta.nafkiri uzito bado ni mkubwa,we shushuli zako huwa unafanya katika mazingira gani?,unakaa sana muda mrefu au unasimama.jaribu kuchek humu kuna uzi ulitolewa namna ya kupunguza uzito.
Mfikilwa nashukuru sana kwa taarifa yako ya kina. Nimefanya x-ray pia, kilichoonekana ni kwamba mgongo wangu una kilema cha kutokupinda sehemu ya kiuno, kwa hiyo uzito wa mwili kubebwa zaidi na mgongo. Mfikilwa nijuze pia ulipata matibabu gani, nimezingatia logical flow ya taarifa yako naona mwishoni kama nawe pia umewahi pata tatizo hilo
Maumivu ya mgongo ni tatizo kubwa sana linalowakumba watu tofauti.
Maumivu hayo hutokana na ukaaji kitako wa mtu, matatizo ya kibinafsi
(stress) pamoja na uzito wa mwili wa mtu mwenyewe.
Mara nyingi maumivu ya mgongo huanzia katika kiungo cha kiuno mgongoni na pia maumivu hayo hupandi hadi kufikia katikati ya mgongo.
Na wengi wao huumwa na aina ya mgongo inayoitwa "cervical and lumbar spondylosis" hii hutokana mifupa kuregea na kuachana katika nafasi zao.
Sababu:
Moja katika sababu za kuumwa na mgongo ni upungufu wa harakati za mwili. Mtu hatakiwi kujipweteka siku nzima ni lazima uwe na harakati ili mwili uchangamke na kwa yule anayeweza kufanya mazoezi basi vyema kufanya mazoezi hayo.
Kati ya sababu nyengine ambazo pia huchangia kuumwa na mgongo ni kwa wale wenye matatizo ya kidney na wenye matatizo ya kike (uzazi n.k)
Sababu hii ni sababu ambayo wengine wetu huumwa mgongo kwajili ya ukaaji sana kitako na pia kuvaa viatu vyenye heels refu.
Unapokaa sana ujue namna ya kukaa unatakiwa lazima unyooshe mgongo wako sio ushafika ofisini unajipweteka ndio hapo unaporudi unajikuta mgongo sio wako.
Na kwa wale wanaopenda kuvaa viatu virefu ni vyema wasivae viatu hivo ikiwa watakuwa na harakati nyingi au mwendo mrefu., kwani unalazimisha mascles zako zifanye kazi overload ndipo baadae huchoka zile muscles na hutoa maumivu ya mgongo.
Tumia dawa zifuatazo ili uweze kuponesha mgongo wako:
Kitunguusaumu: Garlic
Chukua mafuta yoyote uyapendayo ikiwa ya nazi au ya ufuta kiasi cha 60ml uweke katika frying pan na utie vichembe vitatu vya Kitunguu saumu yakaange mafuta hayo mpaka vitunguusaumu zibadilike rangi, baadae ujipake mgongoni bila kuchua na ukae nayo kwa muda wa masaa matatu baada ya hapo unaweza kwenda kukoga tena kwa maji ya vugu vugu (warm water).
NDIMU:
Kamua juici ya ndimu katika glass ya maji utie na chumvi kijiko kimoja kunywa kwa siku mara mbili. Mungu akipenda utapata nafuu.
Ulaji bora:
Mwenye matatizo ya mgongo anatakiwa ale salad kwa wingi kama vile tungule, carrot, cabbage, matango na vile vile anatakiwa achemshe hizi mboga mboga (asichemshe sana) pia anatakiwa ale fruit kwa wingi isipokuwa ndizi asile.
Ulaji wa asubuhi:
fruit na maziwa
Ulaji wa mchana:
mboga mboga zilizoshemshwa kdg tu pamoja na chapati za unga wa ngano nzima
Ulaji wa jioni:
Fresh juice au fruit.
Ulaji wa usiku:
Bakuli zima la Salad
Unatakiwa uache kula vyakula vya mafuta pamoja na vyakula vya sukari nyingi.
Sigara na aina zote za tobacco anatakiwa mwenye backache aache mara
moja.
Unaweza kujikanda kanda (pole pole) kwa kutumia mpira ya maji ya moto.
Tumia Dawa kisha unipe mimi Maendeleo yako unaendeleaje? Please give me your feedback
Ukitaka Dawa ya Kupunguza Unene na Mafuta mwilini pamoja na uzito bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doct...zito-wa-mwili-na-unene-na-mafuta-mwilini.html
Mkuu Amavubi Angalia Faida ya Mafuta ya Ubuyufuata ushauri wa MZIZIMKAVU, Nasikia mafuta ya Ubuyu ni mazuri sana, fuatilia kwa kina pia, kama uko Tz yanapatikana Dodoma au ni pm nikujuze
Mkuu Amavubi huku ndipo kwenye jukwaa ninalolipenda sana kuliko Majukwaa yote yaliomo humu ndani ya Jamii forumsMzizimkavu nimekuzoea sana jukwaa la picha kumbe na huku upo au ndio manana umpotea kidogo kule?, safi sananaona huku unatamalaki zaidi kwa kuwa utaponya wengi
MziziMkavu nakubaliana na wew kwa asilimia1100 % nilikuwa natatizo kwa muda mrefu sana lakini mapaka sasa niko okay kabisa kwa kutumia vitunguuswaumu na mafuta kama ilivyoelekezwa. Pamoja sanaMaumivu ya mgongo ni tatizo kubwa sana linalowakumba watu tofauti.
Maumivu hayo hutokana na ukaaji kitako wa mtu, matatizo ya kibinafsi
(stress) pamoja na uzito wa mwili wa mtu mwenyewe.
Mara nyingi maumivu ya mgongo huanzia katika kiungo cha kiuno mgongoni na pia maumivu hayo hupandi hadi kufikia katikati ya mgongo.
Na wengi wao huumwa na aina ya mgongo inayoitwa "cervical and lumbar spondylosis" hii hutokana mifupa kuregea na kuachana katika nafasi zao.
Sababu:
Moja katika sababu za kuumwa na mgongo ni upungufu wa harakati za mwili. Mtu hatakiwi kujipweteka siku nzima ni lazima uwe na harakati ili mwili uchangamke na kwa yule anayeweza kufanya mazoezi basi vyema kufanya mazoezi hayo.
Kati ya sababu nyengine ambazo pia huchangia kuumwa na mgongo ni kwa wale wenye matatizo ya kidney na wenye matatizo ya kike (uzazi n.k)
Sababu hii ni sababu ambayo wengine wetu huumwa mgongo kwajili ya ukaaji sana kitako na pia kuvaa viatu vyenye heels refu.
Unapokaa sana ujue namna ya kukaa unatakiwa lazima unyooshe mgongo wako sio ushafika ofisini unajipweteka ndio hapo unaporudi unajikuta mgongo sio wako.
Na kwa wale wanaopenda kuvaa viatu virefu ni vyema wasivae viatu hivo ikiwa watakuwa na harakati nyingi au mwendo mrefu., kwani unalazimisha mascles zako zifanye kazi overload ndipo baadae huchoka zile muscles na hutoa maumivu ya mgongo.
Tumia dawa zifuatazo ili uweze kuponesha mgongo wako:
Kitunguusaumu: Garlic
Chukua mafuta yoyote uyapendayo ikiwa ya nazi au ya ufuta kiasi cha 60ml uweke katika frying pan na utie vichembe vitatu vya Kitunguu saumu yakaange mafuta hayo mpaka vitunguusaumu zibadilike rangi, baadae ujipake mgongoni bila kuchua na ukae nayo kwa muda wa masaa matatu baada ya hapo unaweza kwenda kukoga tena kwa maji ya vugu vugu (warm water).
NDIMU:
Kamua juici ya ndimu katika glass ya maji utie na chumvi kijiko kimoja kunywa kwa siku mara mbili. Mungu akipenda utapata nafuu.
Ulaji bora:
Mwenye matatizo ya mgongo anatakiwa ale salad kwa wingi kama vile tungule, carrot, cabbage, matango na vile vile anatakiwa achemshe hizi mboga mboga (asichemshe sana) pia anatakiwa ale fruit kwa wingi isipokuwa ndizi asile.
Ulaji wa asubuhi:
fruit na maziwa
Ulaji wa mchana:
mboga mboga zilizoshemshwa kdg tu pamoja na chapati za unga wa ngano nzima
Ulaji wa jioni:
Fresh juice au fruit.
Ulaji wa usiku:
Bakuli zima la Salad
Unatakiwa uache kula vyakula vya mafuta pamoja na vyakula vya sukari nyingi.
Sigara na aina zote za tobacco anatakiwa mwenye backache aache mara
moja.
Unaweza kujikanda kanda (pole pole) kwa kutumia mpira ya maji ya moto.
Tumia Dawa kisha unipe mimi Maendeleo yako unaendeleaje? Please give me your feedback
Ukitaka Dawa ya Kupunguza Unene na Mafuta mwilini pamoja na uzito bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/345085-good-news-kwa-wale-wenye-kutaka-kupunguza-uzito-wa-mwili-na-unene-na-mafuta-mwilini.html