Maumivu makali kwenye mshono

paka chongo

JF-Expert Member
Feb 27, 2016
248
193
Baada ya mimba ya kwanza kufanyiwa operation ni kama 4yr, na sasa yuko na mimba ya miezi mi nane tatizo lina kuja hapa kwenye mshono wa operation upata maumivu yasio elezeka wakati wa kusimama ni makali sana inapelekea kuna wakati niwe kama nalishika tumbo lake kwa chini ivi kama na msaidia kulibeba ndo inakuwa na nafuu,niliwa wauliza manes wakati wa kilnki yake wanadai ni kawaida ila mmh...mbona naona kila kukicha hafathali ya jana,mwenye kuelewa tafathali msaada wa mawazo ntashukuru.
 
Back
Top Bottom