usikumnene
Member
- Apr 23, 2017
- 81
- 108
Naombeni msaada wa matibabu kutoka kwa madaktari waliomo humu. Tatizo langu ni kwamba kuna siku niliamka asubuhi nikashindwa kunyanyuka kitandani kwa sababu ya maumivu makali kuanzia kwenye pelvic girdle hadi kwenye misuli ya paja kiasi nilishindwa hata kugeuka kitandani.
Nilienda hospitali kupiga X-ray na kupima uric acid vipimo vyote vilionesha niko safi. Dr aliniandikia dawa ya pain killer aina ya diclofenac Na (olfen). Kila nikitumia dawa hiyo maumivu yanaisha Ila tatizo nikitembea tu kwa masaa kadhaa maumivu hujirudia nikinywa olfen maumivu yanaisha.
Kwa sasa nimekuwa teja wa olfen, ndugu zangu nisaidieni nina tatizo gani?
Karibuni kwa michango yenu.