Mtu Kwao
JF-Expert Member
- Sep 2, 2019
- 388
- 700
Wataalamu habari!!
Hivi hii Hali ni kawaida au Mimi tu ndo natatizo
Kila nikimaliza kufanya mapenzi
Afu nikaenda kukojoa basi huwa napata maumivu fulani kwenye kichwa Cha uume kwa ndani yani inakuwa kama kuna sindano inachoma
Lakini baada ya masaa 3 hivi nikienda kukojoa maumivu yanakuwa yameisha
Je maumivu hayo husababishwa na Nini na je ni hali tu ya kawaida au natatizo