Maumivu kwenye tundu la mkojo(urethra)

Mpekechaji

New Member
Mar 11, 2010
2
0
Jamani nimepigiwa sim na rafiki yangu ambae yuko nje ya Dar.
Anasema kwa takribani wiki moja sasa ana maumivu kwenye njia ya haja ndogo(urethra). Hajajigonga wala kukwaruzwa na kitu kwa nje bali inauma kwa ndani. Nilimshauri aende hospital faster,leo kanambia alipofika kule akapimwa mkojo akaonekana hana tatizo,ila dr. kampa antibiotics. Lakini bado anahisi maumivu kwa mbali. Nimemshauri akandamize tu hizo dawa kama alivyoshauriwa. Au wanajamii mna wazo lingine lipi zaidi jamani? Please advice,jamaa mahali alipo hakuna urologists.
 
hili jukwaa ni la mahusiano,mapenzi na urafiki...hamishia kule kwa daktari
 
Jamani nimepigiwa sim na rafiki yangu ambae yuko nje ya Dar.
Anasema kwa takribani wiki moja sasa ana maumivu kwenye njia ya haja ndogo(urethra). Hajajigonga wala kukwaruzwa na kitu kwa nje bali inauma kwa ndani. Nilimshauri aende hospital faster,leo kanambia alipofika kule akapimwa mkojo akaonekana hana tatizo,ila dr. kampa antibiotics. Lakini bado anahisi maumivu kwa mbali. Nimemshauri akandamize tu hizo dawa kama alivyoshauriwa. Au wanajamii mna wazo lingine lipi zaidi jamani? Please advice,jamaa mahali alipo hakuna urologists.
Hizo zinaweza kuwa dalili za STDs.Kaswende au kisonono.
awahi haraka hospitali kwa checkup
 
Well sio lazima iwe STD sometimes unaweza ukawa na UTI Urinary Tract Infection.By the way UTI inaweza ikawa sexually transmitted.Sana sana huwa mtu anahisi maumivu makali sana kama cramps hadi ana sweat kwa sababu ya uchungu, especially kama alikuwa anahitaji kwenda haja ndogo au ambapo kwenda msalani.Ina take time kuclear lakini huwa inarejea mara kwa mara unless you deal with the source of the infection which is most likely her sexual partner.Pia na ye anywe antibiotics na apimwe.Pole sana it is very painful,anaweza hata aka faint kwa maumivu.
 
Hata huku inafaa,mi sibanii ushauri,jamaa atakuwa na infections za kawaida tuu,mwambie atafute dawa inayoitwa CIPROFLOXACIN naamini itammalizia tatizo hilo kabisa!!
 
Hata huku inafaa,mi sibanii ushauri,jamaa atakuwa na infections za kawaida tuu,mwambie atafute dawa inayoitwa CIPROFLOXACIN naamini itammalizia tatizo hilo kabisa!!

Kunyweni tu dawa bila kufuata ushauri wa daktari halafu mwisho wa siku mtaona faida yake.

Watu wengi wamekuwa na tabia ya kunywa dawa kwa kufuata mkumbo fulani katumia kapona ngoja na mimi nitumie matokea yake huponi, unaongeza sumu kwenye mwili wako, na ugonjwa unakuwa sugu. antibiotic so matunda kuwa utatumia kama tiba mbadala. Nakushauri fuata ushauri wa daktari. tena sio madaktari watafuta pesa maana nao ni wengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom