asant kwa response yako. Nadhani kuna haja ya kuwaona matabibu. I thought that could be dealt with at home, but seems I need more consultation!Hii inaweza kuwa ni veneous thrombosis .damu kuganda ndani ya mishipa
asante ndugu. Inaonekana kuna tatizo. nilidhani labda ni mishipa kushtuka lkn inaonekana kuna tatizo kubwa. kwa nini damu ignde? tatizo!Unaweza tumia heparin sindano au wafarini