Maumivu Katikati ya kifua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu Katikati ya kifua

Discussion in 'JF Doctor' started by tete'a'tete, Apr 28, 2010.

 1. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jfs doctors!

  Hope muu wazima.

  Nina shida moja ni takriban 4 months tatizo langu ni kwamba kuna maumivu nayapata kifuani juu ya maziwa nimejaribu kwenda Aga khan wamenipima kipimo cha echo/ na kile wanaangalia kama una vidonga na walikundua vidonga vya tumbo vinanianza kwa hiyo wakanieleza ni acid iliniunguza kifuani walinipa ile Kit ya kutibu vidonga niliimaliza tatizo liliendelea nikaenda KCMC wakanieleza the same story walinipa dawa mbili Rabeprazole Sodium mg20 na Domperidone maleate12.72mg ambazo ni za kutumia 52days bado nipo kwenye dose lakini juzi niliona maumivu yanazidi nikaenda tena TJM wakanipiga x-ray ya kifua wanasema hawaoni tatizo labda tatizo litakuwa kwenye mifupa ninavyokumbuka sijawahi kuanguka wala kujigonga maumivu yenyewe yanakuwa kama mtu aliyeumia au kuteguka katikati ya kifua huwa nikijinyoosha maumivu yanakuja kama kuna kidonda kifuana na yanachukua kama dakika tano kupoa. Jamani wana Jfs naomba mwenye kujua nini kinanisumbua na nitumie dawa gani anisaidie natanguliza shukrani zangu...
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  pole sana tete"atete hope utapata msaada hapa
   
 3. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  na nivizuri usibadilishe madaktari kama mboga unaweza usipate suluhu nafikiri kama daktari wa kwanza alikuwa mzuri uendelee naye huyo huyo yeye akishindwa ataku-rifaa maana usipokuwa makini utaumiza mwili wako kwa dawa.

  Pole sana mtangulize Mungu yeye atafanya njia na utapona tu.
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  pole sana dadangu kama uko jamvini ijumaa kuna maombi ya kuombea wagonjwa
  pale interchick uliza kanisa la bsc....pia kama uko mbali na dar nakushauri akuna linaloshindikana kwa bwana yesu
  yote yawezekana kwake aaminiye naomba uwe na imani mkabidhi bwana jeraha zako anakwenda kukuponya......naomba tafuta sehemu
  ya karibu ya wapendwa waliookoka mueleze shida zako mchungaji mungu anakwenda kufanya njia pasipo na njia

  zab 118:17
  sitokufa bali nitaishi nikiyasimulia makuu ya bwana akuna sehemu ya kukuidhinisha magonjwa wala kifo

  ukapone in jesus name unavyosom hapa
   
 5. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante nitafanya hivyo...ubarikiwe sana Pdidy
   
 6. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks Kabula ni kweli usemayo lakini nilijaribu tena kuchekiwa na Xray usije kuta kuna shida lakini hawajaona kitu chochote but ngoja niendelee na hizi dawa za 52 days nizimalize then niione what next....
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  Shika kifua chako hapo ulipo..
  Sema

  bwana yesu nakuja mbele zako;naitaji rehema zako,najua nimekukosea kwa mawazo maneno na matendo
  nakuomba yesu unirehemu dhambi zangu zote imeandikwa zab 118:17 sitokufa bali nitaishi nikiyasimulia makuu ya bwana
  bwana yesu ulipigwa msalabani kwa ajili yangu na kwa kupigwa kwako nimepona mchan huu w leo natangaza kuachiliwa kifua changu akuna maumivu wala mateso yatakayorndelea juu yangu..ninakataa na kuvunja nira za shetan swa na 1 samwel 10:2 ninaamuru
  visasi vyote vya babangu mamangu na ukoo wangu vinitoke mchana huu natangaza vita juu ya shetan akuna
  malango yatakayokaa ju yangu saa hii bwana yesu nakushukuru kwa upendo wako ahsante kwa kunipenda natangaza kuwa
  huru katika jina la baba na mwana na roho mtakatifu......................
  Amen

  fanya usiloweza kuanzia sasa
   
 8. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amen mama mia! nimefanya hivyo naamini mungu ameshaniponya! will update you for the progress...

  Ubarikiwe na bwana...
   
 9. L

  Ledwin JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2010
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 227
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  je sio matatizo ya moyo?je unafanya kazi sana bila kupumzika?una matatizo ya Pressure?
   
Loading...