Maumivu katikati ya kifua yatokanayo na kufanya kazi nzito

Fabian the Jr

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
756
738
Heshima zenu wakuu, nina hili tatzo linanichanganya sana. Maana huwa napata maumivu katikat ya kifua na hii hutokea pale tu ninapokuwa nimefanya kazi nzito kidogo, Je nini linaweza kuwa tatizo hapa.

Nikishapumzika maumivu haya hupotea na nakuwa poa kabisa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom