Maumivu gani yanakera kuliko yote kwenye list hii?

mwili jamani kila popote ukiumia, panauma balaa.
Mi kuna siku nlijibana kidole kdg cha mkono na mlango wa gari, hee sitaki ata kukumbuka.
Sasa nliuona utamu mlango ulipofunguliwa ili kujikwamua, hamadi, nlitamani niurudishe palepale mlangoni.
Halafu eti nkaambiwa nieke barafu, salale mchuchu wa mwanzo wa babaangu nlimjua.
Mwili unauma jamani, hamna cha afadhali wala kuzidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom