maumivu baada ya tendo

Frankness

Member
Aug 24, 2011
66
13
wadau hebu nipeni jibu la hili swali....huwa nasikia wadada wengi katika stori zao wakisema pindi wanapomaliza kushiriki tendo la ndoa huwa wanaumia sehemu ya chini ya tumbo....hii husababishwa na nini??????ni ugonjwa ama hali tu ya kwaidaa?
 
Hali hiyo hutokana na kuto fikishwa kileleni. Mwanamke huwa anakuwa bado anahitaji kusuguliwa wakati jamaa kashamaliza mda mrefu. Kaka jitahidi kupiga kazi vizuri aisee
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom