Maulizo, Je anaweza kusoma HGE kama school candidate

Aug 18, 2015
13
0
Kuna dogo alimaliza kidato Cha nne
Alipata ufaulu ufuatao
HISTORY:-D
GEOGRAPHY:-C
KISWAHILI:-C
ENGLISH;-C
CIVICS:-C
BIOLOGY:-F
MATH:-F
LITERATURE:-D
JE ANAWEZA KUSOMA HGE KAMA SCHOOL CANDIDATE
 
Hawezi siku hizi lazima uwe na c 3 kwenye masomo husika. Hapo tayari History ana D na Mathematics ana F
 
Hapana labda atafute C ya history mkuu. Hapo hata private candidate watakuambia hivo.
 
Unasoma, kigezo ni kuwa na C tatu.Hata kama ungepata F ya History lakini kama umetimiza C tatu unasoma.
Kesho nenda kwenye shule ya Private iliyokaribu nawe then lete mrejesho naamini utasema kama nilichokwambia.
 
Back
Top Bottom