Maulidi Kitenge anaponyoa kihuni

mzozaji

JF-Expert Member
Jul 28, 2010
255
13
Hii imekaaje wadau Maulidi kitenge amekuja na cut kama la Ronaldo 'kibwenzi' kwenye Luninga. Mwaka huu mbona kuna mambo!

kitenge.jpg

 
Hao ndio tunawategemea kama vioo vya jamii yetu ! Lakini hicho sijui hata kinaitwa kibwezi au nini?
Usipo fanya haya mambo ujanani mwisho wake ndio huo!
 
mtu anaoa wanawake sita katika maisha haya unafikili ni UJANA??????????// mduanzi kama waduamzi wengine
 
Hii imeniacha bila mbavu.

kama MADENGE vile MADENGEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.

2X2=4
2+2=4

KWANINI?

Jibu= Sijui
 
Literal translation (Kiingereza kwenda Kiswahili)

Akili nyepesi huzungumzia watu
Akili za kawaida huzungumzia matokeo
Akili kubwa huzungumzia fikra za ubunifu.......
 
short mohawk hiyo.
kama anatengeneza vipindi serious kama vya taaarifa za habari style hamfai labda kama anatanga vipindi vya music or alike.hiyo nic hoice yake lakini atajiju mwenyewe kama mwajiri wake yuko poa.
 
Back
Top Bottom