Maulid Kitenge, propaganda ulizotumwa kuzifanya kwa wana-Ngorongoro hazitakuacha salama

Ngorongoro.Mmaasai anajenga nyumba za kisasa hadi maghorofa yamejengwa ndani ya hifadhi

Hebu tuwekee picha hayo magorofa na nyumba za bati la misauzi zilizojengwa hifadhini!? Na kama zipo unataka kuaninisha kwamba mfugaji wa kimaasai anajenga hayo magorofa na kuishi humo?

Narudia kusema watz tupo manipulated na siasa za kijinga na kipumbavu zisizojali utu wa mwanadamu.!

Sent using Jamii Forums mobile app
Masai watoke ngorongoro..kwanza mmekuwa kero tu, watoto wenu wanashinda kwenye camps wakiomba chakula, hawaendi shule, wanajifanya wanachunga ng'ombe pembeni mwa camps, na wake zenu wakiomba viporo vya chakula wawapelekee waume zao nyumbani. Wanaume wamebaki kunywa gongo wakisubiri wanawake warudi na viporo vya ugali vya jana, such a lazy tribe. Kuishi kwa kutegemea mwanamke akutafutie!! Wake zenu wameishia kufanya kazi za kufua kwenye camps na kupigwa miti. Wengi wameambukizwa ukimwi na magonjwa ya zinaa. Tunajua maisha yenu ya aibu. Ni muda sasa muondoke mkajitegemee huko duniani kuliko kuishi maisha ya aibu kiasi kile
 
Usiandike kishabiki hali ya Ngorongoro inasikitisha,inakatisha tamaa & ina huzunisha.
Ni kweli Waasai wapo ngorongoro miaka mingi wakishi na wanyama pori na mifugo yao.Wakati huo Mamlaka inaanzishwa idadi ya watu ilikuwa 8,271 na idadi ya mifugo ilikuwa 30,000.Nyumba za wamaasai zilikuwa aina ya combi

View attachment 2109828

Leo idadi ya Maasai ni 120,000 huku idadi ya mifugo yao ikifikia zaidi ya 1,000,000 na makaazi yao yakiondoka katika uasilia na kwenda kwenye usasa.Leo hii mabati msouth yamejaa Ngorongoro.Mmaasai anajenga nyumba za kisasa hadi maghorofa yamejengwa ndani ya hifadhi mgeni akitembelea Ngorongoro anakutana na Kondoo,Mbuzi na Ng'ombe kwa wingi kuliko Simba au Nyati.

Lazima Tanzania ichukue hatua kali na madhubuti kuokoa Ngorongoro.Kumezuka NGOs nyingi tena nyingine zikiasisiwa Kenya zipo pale kwaali ya kutetea ujinga na kuona Ngorongoro inakufa.Hii vita asili yake kubwa ni Kenya ambayo inaumizwa sana na uwepo wa Ngorongoro,Serengeti na Kilimanjaro.Kenya kupitia idara yake ya ujasusi inafahamu wazi ushindani wa utalii ni vivutio na wakiangalia hizo Mbuga tatu wanaona bora waiumize walau moja ambayo ni Ngorongoro.

Hizi NGOs nyingi zinawadanganya wamaasai Ngorongoro ni mali yao,serekali haina chao sasa huu ujinga ungemalizwa na vingozi wenye maamuzi mazito ikiwemo kuirejesha Ngorongoro TANAPA na kuifanya HIFADHI kama zilivyo Manyara,Serengeti,Kilimajaro au Mikumi.Wamaasai wahamishwe wote Tanzania bado ina mapori mengi.
Facts zilizoshiba, ambazo ni zuzu tu ndo anaweza kuzikataa
 
Masai watoke ngorongoro..kwanza mmekuwa kero tu, watoto wenu wanashinda kwenye camps wakiomba chakula, hawaendi shule, wanajifanya wanachunga ng'ombe pembeni mwa camps, na wake zenu wakiomba viporo vya chakula wawapelekee waume zao nyumbani. Wanaume wamebaki kunywa gongo wakisubiri wanawake warudi na viporo vya ugali vya jana, such a lazy tribe. Kuishi kwa kutegemea mwanamke akutafutie!! Wake zenu wameishia kufanya kazi za kufua kwenye camps na kupigwa miti. Wengi wameambukizwa ukimwi na magonjwa ya zinaa. Tunajua maisha yenu ya aibu. Ni muda sasa muondoke mkajitegemee huko duniani kuliko kuishi maisha ya aibu kiasi kile
Una upumbavu mwingi sana!
 
Kwa bahati mbaya ndo ukweli wenyewe
Wewe unafanya nini kwenye camps? Wewe sio omba omba?
BTW: Hakuna jamii ambayo wote wanajiweza. Kila jamii ina wachache ambao hawajiwezi na wanaweza kuangukia kwenye kuomba omba.
Tuambie wewe ni kabila gani tukuambie omba omba wa kabila lako wanakopatikana mjinga wewe.
 
Nawajua wamasai vilivyo, kuanzia wa Monduli, Ngorongoro, Loliondo, na Simanjiro..wadanganye hao hao wasiowajua Masai
 
Hoja ni kwamba, hao watu ipo siku watazidi na hiyo itasababisha wanyama kukimbia kutokana na makazi ya binadamu kukua zaidi.

Kwa mtindo wa sasa, ngorongoro miaka 50 ijayo haitakuwepo.
Mnatetea nini hamna mantiki zaidi ya kuhama, shughuli za binadamu nazo zipunguzwe, wale matajiri wajanja wanaowapa ng'ombe nao waondoshe tu
 
Nawajua wamasai vilivyo, kuanzia wa Monduli, Ngorongoro, Loliondo, na Simanjiro..wadanganye hao hao wasiowajua Masai
Wewe ndio muongo. Hujaulizwa kama unawajua au huwajui. Hata sisi tunawajua jamii nyunhi tu. Wengine tumezunguka hii nchi mikoa yote. Sasa kama wewe ni muongoza watalii, usijione unawajua wamasai.
 
Wewe ndio muongo. Hujaulizwa kama unawajua au huwajui. Hata sisi tunawajua jamii nyunhi tu. Wengine tumezunguka hii nchi mikoa yote. Sasa kama wewe ni muongoza watalii, usijione unawajua wamasai.
Ngorongoro mtaondoka.. after 2 weeks kuna kikosi maalumu kitaenda huko
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom