Kitenge ana shughuli gani Marekani?

Nimekua nikimfutilia Bwana Maulid Kitenge kwa kipindi sasa amekua na safari za kwenda Marekani,
Hv kuna anayefahamu huyu jamaa anafuataga nini huko mara kwa mara maana kwa namna anayonekana kwenye social medias ni kama hana jambo la msingi la kihabari linalompeleka kule.

Just being curious

Huwa anamfata mke wake bila shaka
 
Nileteeni chidiii
Nileteeni chidiiii
Nileteeni chidiiiiiii

Wapi wazee wa remix wamwambie kuna new name in town
 
Kila wakati baada Kama wiki mbili hivi jamaa anarudi na kwenda Marekani... Ni jambo gani LA kumrudisha kila wiki?
 
Kwa upande mmoja mimi napenda kila mtu aishi kwa uhuru wake bila kufuatiliwa .

Kwa upande mwingine, mtu ukituma mipicha yako kwenye mitandao, mwenyewe unaalika maswali kuhusu maisha yako.

Habari zisizothibitishwa ni kwamba jamaa ni mkazi wa kudumu (permanent resident) wa Marekani.

Hivyo, kama hilo ni kweli, hapa swali la muhimu zaidi ni, anafanya nini Tanzania?
 
Kwani Kila Msafiri Wa Mara Kwa Mara Anahisiwa Mabaya?!!!

Hayaa Mkuu..Karibu Al Kasus Kijiweni Kwangu Kwa Mtogole!!
 
hao ndio kusema kazi na-bata wana-make pesa za miezi 6 then wanapaaa angali downtown city wanakula bata
 
Kwa upande mmoja mimi napenda kila mtu aishi kwa uhuru wake bila kufuatiliwa .

Kwa upande mwingine, mtu ukituma mipicha yako kwenye mitandao, mwenyewe unaalika maswali kuhusu maisha yako.

Habari zisizothibitishwa ni kwamba jamaa ni mkazi wa kudumu (permanent resident) wa Marekani.

Hivyo, kama hilo ni kweli, hapa swali la muhimu zaidi ni, anafanya nini Tanzania?
Mkuu...

Nawe Umkazi Wa Kudumu Huko US toka kipindi kileeee wazazi wako wawili walipostaafu pale ikulu ya magogoni...

Hivi kwani Dar es salaam unakuja kufanya Nini?!!

Peace.
 
Kwa upande mmoja mimi napenda kila mtu aishi kwa uhuru wake bila kufuatiliwa .

Kwa upande mwingine, mtu ukituma mipicha yako kwenye mitandao, mwenyewe unaalika maswali kuhusu maisha yako.

Habari zisizothibitishwa ni kwamba jamaa ni mkazi wa kudumu (permanent resident) wa Marekani.

Hivyo, kama hilo ni kweli, hapa swali la muhimu zaidi ni, anafanya nini Tanzania?
Yupo pale usafini kwenye kipindi cha michezo
 
Back
Top Bottom