Maulid Kitenge: Hajanitendea Haki wamechukua Acount zangu

Hivi kudukuwa wanaona kitu rahisi.
Huyo maulid kama alikuwa anaweka mambo yake azarani mfano nywila yake ina mwaka wa kuzaliwa au jina ambalo anatumia nywila,kama alikuwa kaacha kompyuta ofisini kutokufunga email zake na kama anatumia email ya ofisi lazima data zibaki ofisni.

Ni mengi tu
kama alikuwa pale ofisin ni rahisi sana kuipata nywira yake
unategeshewa kamera
ukifungua simu au kompyuta yako mchezo unakuwa umeisha.
 
Hivi pamoka na 2-Step Authentication mtu anawezaje ku-hack account yako ya IG?
 
Kwani hawa bongo celebrities si wengi tu account zao hu hackiwa, Hata kawambwa pindi yupo wasafi yalishamkuta
Huwa inatafutwa excuse ya kumnanga Sadala, ufafanuzi wako wananzengo si wanachotaka kusikia.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom