Maulama watoa tamko zito, wamcharukia mchungaji Munishi

Waktristo wamependelewa sana Tanzania, mie siku zote nashangaa Zanzibar waislamu ambao ni wengi wanakimbia kimbia kwenda kusali ijumaa. Wakristo walio wachache ati ndio system imewafavour siku ya j2 ndio ya mapumziko wapate kwenda kanisani.

Sasa haya tunayoyaona ni yale ya mtu akishakunywa uji sana na kulewa maandazi. Sasa mama Samia alitakiwa abadili mavazi, kisa nini ati uraisi ? Sasa mbona Nyerere alikuwa akivaa kofia za kiislamu wala watu hawakupiga kelele za kiinjili kama anashusha hadhi ya taasisi. Nadhani huyu jamaa inabidi achunguzwe uraia wake :D

Upuuzi mtupu!.
 
aya ya kwanza hujapishana sana na mawazo ya munishi,emu isome alafu utuambie ulichomaanisha
aya ya pili upo sahihi
 
aya ya kwanza hujapishana sana na mawazo ya munishi,emu isome alafu utuambie ulichomaanisha
Iko sawa iyo sie wengine hatuamini kama serekali haina dini, iyo tunababaishwa waislamu tuu. Sasa kama serekali haina dini basi siku ya mapumziko iwe jumatatu. Sote tukose na tuwe tunakimbia kimbia kwenda kusali.

Kimfumo haitaki tochi ni mfumo wa kikristo kaka.
 
Hapa ndo ninapowazarau waislamu... akili zao zipo sharp kushughulika na mambo mepesi mepesi sana kuliko yale mazito yanayotweza uislamu wao ambayo mkoloni CCM amewabinya kuliko dikteta Kagame

Hopeless sana!
 
Munisi alishindwa kuandika hoja yake bila kutumia kauli za kudhalilisha mwanamke na hali yake. Atubu dhambi hii maana kamruhusu shetani kumuangusha kwa kutoa matamshi ya aina hii. Atafanya mpaka huduma yake ya uimbaji itiliwe alama ya kuuliza. Ndivyo shetani alivyo ukimpa nafasi kidogo anakushughulikia sawasawa.

Mungu anapozunguzia kuvaa kwa staha/ kijisitiri haishii mavazi ya nje tu ni pamoja na mioyo yetu kujawa matendo mema. 1Timotheo 2:9-10 na 1Petro3:2-5. Lazima kujiuliza ni vipi ama kwa kipimo kipi kujisitiri ni kujisitiri?

Matokeo yake bwana Munisi kwa kukengeuka kwake kasababisha kutolewa waraka mrefu unanaoweza kukuza jambo hili likaishia kuwa malumbano ya kiimani katika jamii bila sababu yeyote ya kufanya iwe hivyo.
 
Nilitegemea mashehe watajibu.
wachungaji kama Munisi ndo walichochea mauwaji Rwanda,Rais Samia ataongoza nchi kwa muda tu kisha atasepa.
 
Mavazi ya stara na kufunika vichwa kwa wanawake ni agizo la mwenyezi Mungu kwenye imani karibu zote

Mwacheni mama afunike kichwa chake. Hata sisi, masista wetu kule kanisani sijawahi ona nywele zao

1 Wakorinto 11: 5 - 7
Bali kila mwanamke asalipo, au anapohutubu, bila kufunika kichwa, yuaaibisha kichwa chake; kwa maana ni sawasawa na yule aliyenyolewa.
Maana mwanamke asipofunikwa na akatwe nywele. Au ikiwa ni aibu mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa, na afunikwe.
Kwa maana kweli haimpasi mwanamume kufunikwa kichwa, kwa sababu yeye ni mfano na utukufu wa Mungu. Lakini mwanamke ni utukufu wa mwanamume.
"Mwanaume ni mfano na utukufu wa MUNGU..lakin mwanamke ni utukufu kwa mwanaume" ahsant nilikuwa silijui hili
 
Kwani munisi yeye dini gani? Maana

🙏🙏
Dini ya Munishi ni
Munisi alishindwa kuandika hoja yake bila kutumia kauli za kudhalilisha mwanamke na hali yake. Atubu dhambi hii maana kamruhusu shetani kumuangusha kwa kutoa matamshi ya aina hii. Atafanya mpaka huduma yake ya uimbaji itiliwe alama ya kuuliza. Ndivyo shetani alivyo ukimpa nafasi kidogo anakushughulikia sawasawa.

Mungu anapozunguzia kuvaa kwa staha/ kijisitiri haishii mavazi ya nje tu ni pamoja na mioyo yetu kujawa matendo mema. 1Timotheo 2:9-10 na 1Petro3:2-5. Lazima kujiuliza ni vipi ama kwa kipimo kipi kujistahi ni kujistahi?

Matokeo yake bwana Munisi kwa kukengeuka kwake kasababisha kutolewa waraka mrefu unanaoweza kukuza jambo hili likaishia kuwa malumbano ya kiimani katika jamii bila sababu yeyote ya kufanya iwe hivyo.
Munishi miaka yote ni adui wa Waislamu. Anawapondaga sana. Yaani angekuwa na uwezo angewafutilia mbali. Ni miaka mingi ana bifu nao. Sasa leo wamejitokeza kumjibu. Subiri uone nyundo zake.
 
Atakuwa mjinga katika jamii ya kitanzania utaepukaje maingiliano ya Ukristo na Uislamu kwenye familia zetu? Na Taifa lolote msingi wake hujengwa kuanzia level ya familia.
 
Msije mkachanganya mambo, kwenye uislamu wanaume wameamrishwa kutokodolea wanawake (they should lower their gaze). Sababu ya kufunika kichwa au kujistiri haina uhusiano wa moja kwa moja na wanadamu wenye jinsia za kiume. In fact its for their own protection/good, its much more deep than our imagination.

Kuna wapuuzi kule marekani huthani kama wanawake wa kiislamu wanazimishwa na waume zao, kiilivyo wanaamuwa wenyewe kujistiri na sababu sio za kibinadamu au watovu wawili watatu wa nidhamu.
 
Back
Top Bottom