Maujuzi mapya , Nusra nivunjwe shingo!

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
Salam Kwenu Wadau,

Mwenzenu siku ya leo imekuwa tofauti kuchunguliachungulia....si nikatoka na kitu!! nikaona nami ngoja nikamsuprise baby heheheheh...hata alivyojichoropoa mwilini mwangu sijui ,ila nakumbuka nilirushwa na teke moja hatari sana, na mchezo ukaishia hapohapo....akasema eti 'namfundisha tabia mbaya!'
Jamani tuache kuparamia maujuzi ya mtandaoni, lasivyo uwe umewasiliana na mpenzio kama atalidhia!

Ndo hivyo mwenzenu nimejifunza sasa!

Nawasilisha!
 
Hahahahahahaaa!
Majigo hukumkunja vizuri huyo!
Embu siku nyengine mkunje kunye mpaka akuulize "babii kichwa changu kiko wapi!!!"
 
Kumfundisha tabia mbaya ni kupi?ulitaka kuonja pale patamu zaidi nini?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Salam Kwenu Wadau
mwenzenu siku ya leo imekuwa tofauti
kuchunguliachungulia....si nikatoka na kitu!!
nikaona nami ngoja nikamsuprise baby
heheheheh...hata alivyojichoropoa mwilin mwangu sijui ,ila nakumbuka nilirushwa na teke moja hatari sana, na mchezo ukaishia hapohapo....akasema eti 'namfundisha tabia mbaya!'
jamani tuache kuparamia maujuzi ya mtandaoni, lasivyo uwe umewasiliana na mpenzio kama atalidhia!!
Ndo hivyo mwenzenu nimejifunza sasa!
Nawasilisha!

Hujasema ni ujuzi upi! Tupeane elimu. Ulitaka O au?
 
Hahahahahahaaa!
Majigo hukumkunja vizuri huyo!
Embu siku nyengine mkunje kunye mpaka akuulize "babii kichwa changu kiko wapi!!!"

teh teh teh
eti ' baby kichwa kiko wap!'
namkunja vizuri, ila leo ndo hivyo tena!
 
Salam Kwenu Wadau
mwenzenu siku ya leo imekuwa tofauti
kuchunguliachungulia....si nikatoka na kitu!!
nikaona nami ngoja nikamsuprise baby
heheheheh...hata alivyojichoropoa mwilin mwangu sijui ,ila nakumbuka nilirushwa na teke moja hatari sana, na mchezo ukaishia hapohapo....akasema eti 'namfundisha tabia mbaya!'
jamani tuache kuparamia maujuzi ya mtandaoni, lasivyo uwe umewasiliana na mpenzio kama atalidhia!!
Ndo hivyo mwenzenu nimejifunza sasa!
Nawasilisha!

Acha uongo wewe! Umepiga punyeto ukaanguka bafuni unatudanganya eti ulikuwa na demu?
 
Kumfundisha tabia mbaya ni kupi?ulitaka kuonja pale patamu zaidi nini?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

hahahah
hapana mkuu! Ila ni manjonjo ya kuifanya shughuri inoge,, unajikuta umetokeza siko!
 
Salam Kwenu Wadau
mwenzenu siku ya leo imekuwa tofauti
kuchunguliachungulia....si nikatoka na kitu!!
nikaona nami ngoja nikamsuprise baby
heheheheh...hata alivyojichoropoa mwilin mwangu sijui ,ila nakumbuka nilirushwa na teke moja hatari sana, na mchezo ukaishia hapohapo....akasema eti 'namfundisha tabia mbaya!'
jamani tuache kuparamia maujuzi ya mtandaoni, lasivyo uwe umewasiliana na mpenzio kama atalidhia!!
Ndo hivyo mwenzenu nimejifunza sasa!
Nawasilisha!

Kizazi cha nyoka hiki; ole wenu!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom