Maujanja ya wifi nigawieni

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,745
2,338
Kwa mara nyingine tena napenda kuwataarifu kwambafirst nataka mwenye ujanja wa kufanya wifi ya university iweze kudownload pia iweze kuwa na speed{inaonekana hivi vitu vimekuwa limited ktk hiyo service} ashushe ho ujanja jukwaani second mwenye ujanja wa ku access free wifi atupie hapa

nawasilisha shukrani
 
utapoteza moda wako tu mkuu,that is not easy,tafuta modem inayokufaa uwe unatumia that would be the best.
 
ushauri wako ni mzuri,,,lkn kama kuna ujanja kwa nini tusibadilishane na kuhusu kupoteza mda mi sioni shida hali mradi nijue
 
ushauri wako ni mzuri,,,lkn kama kuna ujanja kwa nini tusibadilishane na kuhusu kupoteza mda mi sioni shida hali mradi nijue

Habari yako Njunwa...sidhani kama ni sawa kuweka picha ya namna hiyo. Lengo la JF ni zuri Ila naona sie watumiaji ndo tunaharibu maana hatuna mipaka!
 
Habari yako Njunwa...sidhani kama ni sawa kuweka picha ya namna hiyo. Lengo la JF ni zuri Ila naona sie watumiaji ndo tunaharibu maana hatuna mipaka!

Nahisi kuna mabadiliko kwenye safu ya uongozi wa mods! Inaonekana waliopo siku hizi hawajali sana vitu hivi. Anyway,kama huyu ndugu yetu ameona hiyo picha inamfaa,sawa.
 
samahanini kwa wala wote mliokwazwa na avatar lkn hilo lisifanye mmuache kunisaidieni

uchoyo kitu kibaya
 
Back
Top Bottom