Mauaji yanayofanywa na Polisi: Chadema yataka JK aingilie kati

Mkuu, huyohuyo aliyesema JK dhaifu, ndio huyohuyo anamtaka JK aingilie kati leo
Hilo nalo neno na kweli JK ni dhaifu na "tume" itakuwa dhaifu. kuna namna nyingi za kushinikiza tume huru ikiwepo ya nguvu ya umma, kwenye katiba mpya mbona waliweza? I will not agree on this TUME?
 
Chadema ndo hapo huwa wananiudhi!mtamwombaje JK afuatilie vifo vya makamnda aliowatuma?kama angekuwa hajafurahishwa angeshawafukuza kazi kitambo sana.Tafadhali chadema msianze kutuudhi bana!

Hivi hivi kashfa za madini eti mkampeleka Zitto kwenye kamati ya mwenye kashfa,mlitegemea nini?saa nyingine ni kama mnajipiga risasi ya mguu!
Total disapponted ki ukweli, mhalifu aunde tume? shiiiiiiit
 
Chadema imetoa taarifa kuwa haina imani na tume inayoundwa na Waziri Nchimbi kuhusu mauaji ya raia huko Morogoro kutokana na polisi kutoa maelezo yanayojikanganya na yale ya wananchi.

Hivyo chadema imemtaka Rais Kikwete kuingilia kati na kuunda tume itakayofanya uchunguzi wa matukio yote ya mauaji yanayofanywa na Polisi kwa raia wasio na hatia na kutoa tamko la kukomeshwa kwa vitendo hivyo vya polisi.

Taarifa ya Chadema imetoewa leo na John Mnyika katika mkutano wake na wanahabari.
Jamani huyu Kiwete DHAIFU ni mwuaji na ndiye anayeajiga mauwaji haya. Sasa ataingilia wapi? Juzi Ulimboka hakuna kilichofanyika ila ujinga tu, leo Morogoro, kesho Iringa tuseme tuna raisi? Hatuna kabisa raisi. Ni upepo tu wa liwalo na liwe na kweli limekuwa kwani nchi haitawaliki hata chembe. Mungu warehemu wetanzania wanaouawa bila sababu yeyote. Mungu ikomboe nchi yetu toka mikononi mwa viongozi DHAIFU.
 
CDM wana la kujifunza hapa
 
Back
Top Bottom