Mauaji yaliyotokea Lemax Bar Sinza kwa Remmy yalikuwa yanaweza kuzuilika mapema

Wanasemsa kijiwe hicho ndiyo cha jamaa...so wengi wanamjua mzee wa misifa sifa..

Alikuwa anadaiwa laki sita ya ulevi wakamdai hadi mkewe akaja kulipa...jamaa akamaindi nani kamdai mkewe? ndiyo akaenda na chuma kusafisha jina

So wamgeona jamaa hayupo sawa wangemtonya mkewe aje kumchukua au police..maana jamaa katishatisha watu muda mwingi tu.
Hizi pombe tunakunywa tu, ila sio nzuri na kuacha hatuwezi, Tuombe tu Mungu atupe Hekima tukishalewa...
 
Suala siyo kijiwe chake wala mkewe, mara madeni mara kutisha watu. Kuwalaumu hao waliokimbilia vyumbani kuokoa maisha yao.

Si kila mtu anaweza kukabiliana na tukio la hatari tena lenye kuhusiana na silaha ya moto, hawapaswi kulaumiwa hata kidogo.
Nafikiri concern yangu kubwa hapa ni kwamba unapokuwa katika sehemu fulani pindi unapoona jambo ambalo kwako si salama au kwa ujumla wenu mliopo pale hampo salama basi kuwa mwokozi kwa wenzako mapema tu kwa kutoa taarifa hata serikali za mitaa au balozi kama hauna network za usalama wa ngazi ya taifa ....
 
Watanzania wengi ni waoga, haswa wakazi wa daresalaam, huo ujinga angeufanya mkoa kama wa musoma huko,au nchi Kama ya burundi au Rwanda, wangemuua yeye kabla hata ajaua mtu,

Watu wa Dar es Salaam ukiwa na bastola bandia tu unaweza kuteka hata Bar nzima, wanachojua wao umbea tu
 
Nafikiri concern yangu kubwa hapa ni kwamba unapokuwa katika sehemu fulani pindi unapoona jambo ambalo kwako si salama au kwa ujumla wenu mliopo pale hampo salama basi kuwa mwokozi kwa wenzako mapema tu kwa kutoa taarifa hata serikali za mitaa au balozi kama hauna network za usalama wa ngazi ya taifa ....
Sitaki kufikiri kuhusu concern yako wala nini.
 
Hata kijana aliyeuliwa alikuwa na kosa. Yaani mtu anafyatua risasi halafu wewe unamfuata!!!!! Sijui ndiyo kifo kilikuwa kinamuita. Yaani walevi noma sana!!!

Kwanini hawakuondoka wote wamwache peke yake? Hata kuita polisi mapema kabisa kabla hajaua ingewezekana. Kufuatana na mashuhuda huyo mtu alienda mapema tu na mauaji kayafanya jioni au mchana!!!

Kweli mkuu yangeweza kudhibitiwa mapema!!!!! Halafu mtu mwenyewe wanamjua anafanyaga fujo siku zote!!!!!
 
Tuliza nyonyo zako hizo zisizokaa kwenye sidiria kisha utafute akili japo kidogo za kutumia. Unatawanya damu zako za hedhi kisha unategemea kila mmoja asifie?
Husifikirie kuwa kila mtu anafirwa kama wewe nyie ndio mnakunywa pombe za bure mkisubiri wake zenu waje wawalipie swine malaya utafirwa sana mwaka huu kwa pombe za bure,
 
husifikirie kuwa kila mtu anafirwa kama wewe nyie ndio mnakunywa pombe za bure mkisubiri wake zenu waje wawalipie swine malaya utafirwa sana mwaka huu kwa pombe za bure,
Nilisema awali kuwa akili yako haiendani na ukubwa wa mwili wako. Mwili mkubwa akili ndogo kama punje ya mchicha, sasa kwa vile unapasuka acha leo nikupasue hadi uupate akili.

Ukipata muda andika kuhusu pombe za bure unazonunuliwa na wanaume wako hao.
 
Hasingekufa mtu usingepata wazo la kundika nyuzi yako. limetokea na yatatokea mengi tu, kila kitu kinasababu. Hatuwezi kuzuia ajali ila tunaweza kupunguza
Unachosema ni kweli, tunaweza kupunguza kwa kutoa taarifa au ata kuondoka katika eneo ambalo unaona sio salama , kwenye pombe usimjue mtu hasa akiwa amelewa hata kama ni ndugu yako , tafuta njia awekwe katika mikono salama pombe ikiisha atapata akili basi.....lakini usije mfuata na kusema fulani tulia bwana sio fresh ... mlevi hata kama anapanga anaweza kukucharanga.... be safe .. stay safe
 
Back
Top Bottom