"Wana JF, kinachonishangaza ni kuwa, sisikii mtu yeyote akimzungumzia Kikwete kuhusika na hili, na hii ni hatari sana katika kutafuta chanzo cha suala hili ambalo limeleta kilio kisicho na sababu kwa watanzania wapenda haki, pamoja na wapenda haki wote duniani. Rai yangu ni kuwa Kikwete awajibike kwa tukio hili maana ndiye mhusika wa jambo hili kimantiki, na kama IGP ndiye aliyehusika, basi amwajibishe haraka iwezekanavyo, vinginevyo awajibike mwenyewe! Asipofanya hivyo, umma utawawajibisha wote.' nimelazimikakuquote para hii kwa maana ya kutaka kukusaidia ewe mtanzania mwenzangu,
Mauaji arusha ni matokeo ya ukorofi wa viongozi wa cdm walipokataa kutii amri ya serikali, kataa kubali, nchi hii ina sheria na raisi na watawala ambao wanaangalia na kutulinda, ukitaka kuelewa kama una dini , utajua wazi ni wajibu wako kumtii raisi naserikali yake, hata dakika yamwisho amri ikitoka huna nguvu ya kupinga , slaa alivyo amrisha fujo kwa kutamka nanukuuu maana nilikuwepo "moja, mbili tatu twndeni tukawatoe mbowe na lema" alikuwa anamaanisha kitu gani ndugu yangu usijichoshe wala usituchoshe, na wala usilaumu raisi wako kwa miaka mitano ijayo na serikali yake,usiporidhika nae tafuta njia mbadala na iwe ya amani maana ya fujo utazibitiwa tu.
.