Mauaji ya Songea; IGP - Said Mwema aomba radhi

Polisi wanawaua wananchi kinyama Songea kwa kuwa wamekataa kupokea MADIWANI UCHWARA WA MHE NCHIMBI halafu kafa inzi vile Rais wetu Kikwete bado anasubutu kufaulisha ndege pale Dubai moja kwa moja kwenda Botswana kucheza Makirikiri akitokea Uingereza alikoenda kuwatafutia amani Wasomalia na wala hana taimu na sisi wananchi wake????????
 
sawa ameunda tume itatoka na majibu akiweka hadharani tutashukuru.na amesema ikionekana polisi wanamakosa watawajibishwa japo sio kawaida ya polisi.lakini vipi familia za marehem watafidiwa vipi kwa uzembe wa polisi na akumbuke hilo ni jereha ndani ya mioyo ya wanasongea nani hasira dhidi ya serikali yao badae muanze kusema wananchi ni jeuri kumbe mnawakomaza ninyi wenyewe kumbuka hata komando alikua raia wa kawaida
 
Tanzania police arrested over 'witchcraft killing' riot
Map

In hiding for exposing Tanzania witch-doctors

Four Tanzanian police officers have been detained after two people were killed during a protest over alleged witchcraft killings.

A regional commander told the BBC that police had opened fire in the south-eastern town of Songea to stop an angry crowd from smashing public property.

The protesters said not enough had been done to find those behind the recent killing of six women.

Police deny the murders were done to obtain body parts for witchcraft use.

In recent years, there have been a spate of killings of people with albinism in Tanzania.

Their body parts are prized in parts of Africa, with witch-doctors claiming they have special powers to bring success in business and love.

The women killed in the Songea area were not believed to be albinos.
Stampede

Ruvuma regional police commander Michael Kamhanda told the BBC that police officers "were forced to use live bullets" after they "had exhausted all means to disperse rowdy crowds".

Thousands of people took to the streets of Songea on Wednesday - after four women were killed and their bodies allegedly mutilated last week.

They attacked the police station and several government offices - and were heading towards a presidential residence when officers opened fire, Mr Kamhanda said.

Two other people were killed during a stampede, the AFP news agency reports.

A total of six women have been killed in the area since November - but Ruvuma police say there is no evidence, despite a widespread belief among local residents, that the killers cut off parts of the bodies for use in witchcraft.
Source BBC
 
Mi sijaridhika na hiyo apology yake kwa sababu:
1) Mara kwa mara askari wengi wamekuwa wakijihusisha na vitendo viovu km UJAMBAZI, UUAJI na UHUNI
2) Jeshi la Polis, kihistoria, halina nidhamu wala maadili ya misingi ya utawala bora - wao kutii watawala (CCM) na mabosi wao ndio wamemaliza.
3) Matukio yaliyoundiwa tume mfano Arusha, Mbyea, Tunduma nk mpaka sasa hakuna ripoti wala hatua zozote za kinidhamu wala kisheria
4) Hivi mwana JF, unajiskiaje kusika eti stika za nenda kwa usalama zimeibiwa ofisi za polisi? Mbali na mali kibao za raia wema zilizo/nazo porwa kila siku kila kona na hao "wana-usalama"!
5) Bado mambo ya akina Zombe, Mahita na mitandao chungu mbovu ya kihalifu inayobuniwa/kufadhiliwa/kuendeshwa na Polisi. Ole wao siku raia wema watakaposema basi inatosha!

Mwisho wake ni kuwa bado yatajirudia tena na tena kwa sababu mazingira na sababu za Polisi kuendelea kuua ovyo bado zipo. Hivyo atarudi tena na radhi nyepesi nyepesi
 
Hivi polisi wakiua, IGP akaomba msamaha ndio atawafufua waliokufa? Simply killings....qmmmnina....
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Said Mwema, amesema amesikitishwa na kusononeshwa sana na mauaji ya watu wanne yaliyofanywa hivi karibuni katika mji wa songea na vijana wake askari wa jeshi la polisi, ndiyo maana amepeleka kikosi maalum toka makao makuu ili kubaini ukweli wa hali halisi iliyojiri. Said Mwema, ameyasema hayo hivi punde, wakati alipokutana na kamati ya kudumu ya bunge inayoshughulika na maswala ya ukimwi, inayoongozwa na mhe. Lediana Mng'ong'o.

Akiongea kwa upole na unyenyekevu, hata kabla hajaulizwa, IGP, alifafanua kuwa yeye binafsi ameumizwa sana moyoni mwake na mauaji ya raia wasio na hatia. "hivi ninavyozungumza nina kidonda moyoni mwangu," alisema IGP akisisitiza kuwa, "mimi [said mwema] binafsi ninsingependa kuona hali hii inaendelea."

Kufuatia hali hiyo, mbunge wa Ludewa, mhe. Filikunjombe, alimtaka IGP aombe radhi, kuthibitisha kauli yake kwamba ni kweli ana 'kidonda moyoni' kinachosababishwa na mauaji ya watendaji wake wa chini.

Pamoja na kukubali rai ya Mhe. Filikunjombe, IGP Mwema, amesema askari waliofanya yale mauaji, ikibainika wametumia 'nguvu ya ziada', watachakuliwa hatua za kinidhamu. Na hivyo IGP amewataka wabunge wasubiri ripoti ya uchunguzi.

My take: Ni jambo la busara kwa IGP Mwema kuomba radhi kwa makosa yalosababishwa na askari wake. Huu ni uungwana. Hata hivyo, Mawaziri nao wajifunze kuwajibika kwa makosa ya walio chini yao.

Alikuwa wapi kuomba radhi tangia yanatokea Arusha, mbeya na kwingineko mpaka hili la juzi ndo aje kuomba msamaha? Au kaona imekuwa too much?
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi, Said Mwema, amesema amesikitishwa na kusononeshwa sana na mauaji ya watu wanne yaliyofanywa hivi karibuni katika mji wa songea na vijana wake askari wa jeshi la polisi, ndiyo maana amepeleka kikosi maalum toka makao makuu ili kubaini ukweli wa hali halisi iliyojiri. Said Mwema, ameyasema hayo hivi punde, wakati alipokutana na kamati ya kudumu ya bunge inayoshughulika na maswala ya ukimwi, inayoongozwa na mhe. Lediana Mng'ong'o.

Akiongea kwa upole na unyenyekevu, hata kabla hajaulizwa, IGP, alifafanua kuwa yeye binafsi ameumizwa sana moyoni mwake na mauaji ya raia wasio na hatia. "hivi ninavyozungumza nina kidonda moyoni mwangu," alisema IGP akisisitiza kuwa, "mimi [said mwema] binafsi ninsingependa kuona hali hii inaendelea."

Kufuatia hali hiyo, mbunge wa Ludewa, mhe. Filikunjombe, alimtaka IGP aombe radhi, kuthibitisha kauli yake kwamba ni kweli ana 'kidonda moyoni' kinachosababishwa na mauaji ya watendaji wake wa chini.

Pamoja na kukubali rai ya Mhe. Filikunjombe, IGP Mwema, amesema askari waliofanya yale mauaji, ikibainika wametumia 'nguvu ya ziada', watachakuliwa hatua za kinidhamu. Na hivyo IGP amewataka wabunge wasubiri ripoti ya uchunguzi.

My take: Ni jambo la busara kwa IGP Mwema kuomba radhi kwa makosa yalosababishwa na askari wake. Huu ni uungwana. Hata hivyo, Mawaziri nao wajifunze kuwajibika kwa makosa ya walio chini yao.
kusikitika sio uungwana amgetakiwa ajiuzulu kwa makosa ya waliochini yake
 
Hakuna haja ya kutoa machozi ya mamba! Said Mwema, Paul Chagonja pamoja na Robert Manumba waongozwe na huyu tahira Nahodha kutoka Unguja wajiuzulu kama alivyofanya Alhaji Ali Hassan Mwinyi ambaye kwa muujiza alikuja kuwa rais na na Leo nchi imekuwa janga! Huo ndiyo uwajibikaji kwani tangu Kikwete awateue hawa wababe police wameshaua watu kibao. This is more than crazy!
 
Ni usanii tu,

Kwani leo ni siku ya ngapi toka mauaji hayo yamefanyika?

Kwa nini alisubiri kamati ya bunge?

Kiongozi yeyote anayehudumia kwenye serikali hii hawezi kuaminika kwa lolote....Labda kwanza aachie ngazi!!

Babu DC!!
 
Hawa wanafiki tu,hawa askari kama wangekuwa wanadibishwa kutokana na kufanya mambo kama haya sidhani kama wangekuwa wanarudia...Mbeya ilikuwaje? Arusha ilikuwaje? na sehemu nyingine nyingi.Asitufanye sisi matahaira tusiojua kinaendelea nini,askari wanatimiza amri ya mkuu wao,na mkuu wao anapata amri toka juu...watuambie tu wanaifanyia kazi ilani ya chama tu....

kama ukitumia silaha utadhibitiwa kwa silaha,kama ungekuwa wewe ndo upo kwenye defender wahuni wanakurushia mawe na unasilaha begani ungeshuka chini kutafuta mawe ya ku revange?mbona akina kijo kisimba na mama nkya hawakupigwa risasi japokuwa waliandamana kwenda w.ya afya?
 
Walikuwa wanaendesha pikipiki mawe waliyashika kwenye mikono gani?
 
Polisi walohusika kuua raia washtakiwe, no excuse..

Polisi anatakiwa amdhibiti mhalifu kwa techniques (ndio maana wanaenda training)...

Polisi wanatakiwa kutumia nguvu a.k.a rungu, mateka, gesi etc..kwa mhalifu mkorofi

Polisi kutumia risasi ni something very remote unless kama ameenda kushika jambazi mwenye silaha..

Damn wanaudhi
 
Wewe huyu? isije kuwa mtu kaingilia akaunti yako..
 
Polisi wanajua maandamano tu. Wamekuwa ni polisi wa maandamano. Kukiwa na ujambazi visingizio kibao, mara usafiri hakuna, mara silaha hazipo. Wanafiki wakubwa nyie polisi!
 
Polisi walohusika kuua raia washtakiwe, no excuse..

Polisi anatakiwa amdhibiti mhalifu kwa techniques (ndio maana wanaenda training)...

Polisi wanatakiwa kutumia nguvu a.k.a rungu, mateka, gesi etc..kwa mhalifu mkorofi

Polisi kutumia risasi ni something very remote unless kama ameenda kushika jambazi mwenye silaha..

Damn wanaudhi

mhuuuuu. Yametoka moyoni kweli au upo kujivua gamba.!
 
Back
Top Bottom