Mauaji ya RPC yaibua mapya, kampeni za CCM zarindima msibani, 15 wakamatwa!

Unajua bwana siku hizi maisha hayana thamani kabisa,
Mtu ukisha kufa yanaibuka haya,yale mwisho kimyaaaaaaaaaa!

ingekua amejeruhiwa tu ye ndo angesema huyo mwanamke alikua mpwa wake au hawara yake
ila ndo keshakufa,akizikwa tu kasahaulika......

mi naona arest in peace tuu!
 
Back
Top Bottom