Mauaji ya Raia yanayofanywa na Jeshi la Polisi TZ

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,721
515
Naomba kuwa updated kuhusu wale vijana wawili waliopigwa risasi na Polisi Arusha maeneo ya Kijenge kwa kile kilichoitwa Majambazi yaliishia wapi? Je hivi nao swala lao lilikwisha kama lile la kina Sabinus Chigumbi-wafanyabiashara wa madini Moro?
 
Back
Top Bottom