Mauaji ya Njombe: Baraza la watoto taifa latoa tamko

Jul 30, 2013
96
36
Viongozi wa Baraza la watoto Taifa na Mkoa wa Mwanza watoa tamko kuhusiana na mauaji ya watoto wenzao yanayotokea Mkoani Njombe nchini Tanzania. Utoaji wa tamko hilo uliofanyika katika ofisi za shirika la Mwanza Youth and Children Network - MYCN, Jijini Mwanza tarehe 1/2/2019, uliongozwa na mtoto Aidath Ismail ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom