Kauwawa na Wapinga Mapinduzi waliemtumia Kanali Humoud. Walimvamia akiwa Makao Makuu ya ASP Kisiwandui Zanzibar akiwa na Hayati Mzee Thabit Kombo Katibu Mkuu wa Afroshiraz Party.
Kanali Humud aliwapa Maelekezo wauaji wenzie kuwa wawapige risasi watu wote wataowakuta pale ila wahakikishe hawamgusi Karume , alitaka Yeye ndie amuue Karume na akafanikiwa kutekeleza unyama huo, Mzee Thabit alijeruhiwa kwa Risasi kadhaa lakin hakufariki.
Kauwawa na Wapinga Mapinduzi waliemtumia Kanali Humoud. Walimvamia akiwa Makao Makuu ya ASP Kisiwandui Zanzibar akiwa na Hayati Mzee Thabit Kombo Katibu Mkuu wa Afroshiraz Party.
Kanali Humud aliwapa Maelekezo wauaji wenzie kuwa wawapige risasi watu wote wataowakuta pale ila wahakikishe hawamgusi Karume , alitaka Yeye ndie amuue Karume na akafanikiwa kutekeleza unyama huo, Mzee Thabit alijeruhiwa kwa Risasi kadhaa lakin hakufariki.
Thabit Kombo ni hayati? na huyo wa unguja ni mjukuu wake?
SIRI YA MTUNGI ............
PILIPILI USIOILA YAKUWASHIYANI?
Badala kutueleze Sokoine kafaje au Kolimba kafaje, mwaleta hadithi za Alfu ulela!
Mwajuwa kuwa huyo Salim ni mmoja wa watuhumiwa? na aliyemlinda ni nani? Sasa aliyemlinda naye ahusika? Fumbo mfumbie .......
Acheni kutafuna maneno! Aliyemuua Karume ni JULIUS K NYERERE rais wa kwanza wa Tanganyika na chama chake cha TANU-CCM!
Si huyo tu ambaye kauawa na serikali ya ccm, orodha ni ndefu sana.
Tunasubiri 2015 watakapokuwa chama cha upinzani ndipo tutafungua kesi za mauaji hayo maana ushahidi upoo!!
MtwikeSIRI YA MTUNGI ............
PILIPILI USIOILA YAKUWASHIYANI?
Badala kutueleze Sokoine kafaje au Kolimba kafaje, mwaleta hadithi za Alfu ulela!
Mwajuwa kuwa huyo Salim ni mmoja wa watuhumiwa? na aliyemlinda ni nani? Sasa aliyemlinda naye ahusika? Fumbo mfumbie .......
DSNTujuze sababu za Mwalimu kufanya hayo manake umemvisha kitanzi bila kumungunya maneno kuwa ndio muhusika.Tusaidie.
FaizaFoxyAll roads leads to Rome.
Nyerere, Nyerere, Nyerere.
Nini zaidi kinachotakiwa? iweje Nyerere awawachie huru baada ya muda watu waliokula njama za uhaini na mpaka Karume kuuawa? Haiingii akilini.
Sababu kuu ya Mt JK Nyerere kukatisha uhai wa baharia yule ni MUUNGANO!
Baadhi ya mambo waliyokuwa wamekubaliana ktk muungano huu Mt Nyerere alikuwa hayatekelezi ndipo baharia alipo anzisha harakati za kujiondoa ktk muungano! Mt Nyerere kuona hivyo akaukatisha uhai wa Baharia Karume!
Wapo wengi waliouawa kwaajili ya kupinga muungano huu!
Na wapo ambao kila maadhimisho ya muungano huu wao kauli mbiu yao ni "Hatuta sahau siku ambayo Mzanaki alituingiza mjini"
Wapi na wapi?kuna mdau katujuza kuwa muuaji wa Mzee karume alikuwa ni mlipizaji wa kisasi wa kifo cha Baba yake [Hoja hii kama ni kweli Mzee Karume alishurutisha mtoto Mtu kumua Baba yake pasipo hiari yake hata kama ilikuwa ni SIRI KUU hapo ilikuwa ni dhambi ambayo mmalipo yake lazima yangerudi] . Yani wenzetu wanasema what goes around comes around.Hoja ya kulipa kisasi asilmia kubwa ina mashiko kwangu kwa kuwa na utamaduni wa watu wa kimazingira siasa za Zanzibar zimezungukwa na visasi kwa hilo naafiki kuna uwezekano.
Haya mdau Jason wewe unakuja na hoja ya Mwalimu kumua Mzee Karume ambae kwa jukumu alilokuwa nalo tena kwa hiari yake mwenyewe alimfuata Mwalimu ili auende Muungano na si Mwalimu aliyemfuata kuunda Muungano.Hiyo imeakaaje aliayetaka Muungano ndie awe mvunja muungano huo huo?Naomba ufafanuzi ukiziangati hiyo taarifa ya mdau kuhusu ujumbe hapo juu.
mimi kwa kweli kuna mzee kanipa mchapo wote. Yeye anasema, sikumbuki ya nyuma,ila aliniambia karume kuna kikundi cha watu aliwaua wakiwa wazima cz walitaka kuipindua serikali yake, sasa mmojawapo ndio ndgu wa huyo mjeda, ndo huyo mjeda akapanga kulipiza kisasi na alipga risasi akiwa anacheza bao.. Later ndo ilikuwa zamu ya nyerere,mzee akakimblia butiama. Nimesahau mengine. Alinipa visa vingi tu kama cha kawawa kupigwa kibao mble ya nyerere na yule jamaa aliyekmbilia Uk enzi ya nyrere..
===>Punguza kuropoka ongeza maarifa hapa,bila kuchapwa viboko.Achana na mimi, jibu maswali yangu kama una majibu, kama huna majibu nisome tu usepe, uwawache wenye uwezo wa kujenga hoja wanijibu.
Inasemekana mzee Karume alipouwawa alikua na $ 20 milioni nchi za nje ? hizo ni fedha nyingi sana 1972 ukichukulia wakati huo wazanzibari walikua wanasota sana kimaisha
mawazo ya Mtanzania wa kawaida, kwani muungano ulkuwa kati ya Nyerere na Karume au Tanganyka na Z'bar, by the way sio kosa lako tatzo unasoma sana gazeti la an-nuur ndio huwa wanahzo views.
Subiri niombe ruhusa ya advocate wangu ili nimwage data zote za Nyerere kusimamia mauaji hayo na mengine ambayo hayajapata kutajwa!