Mkuu mbona nimeshakujibu katika post # 216
hawa waHadimu na waTumbatu wametokea Maziwa Makuu (Ziwa Victoria /Nyanza) na wanatokana na jamii ya waBantu kutoka Bara na waliishi katika vijiji vidogo wakashindwa kuungana na kujitawala ndio maana wakavamiwa na wageni
kutafsiri kila sentesi si mtaalam ndio maana nikakupa link ambapo inaweza kukutafsiria mbona yote yamo? History of Zanzibar - Wikipedia
View attachment 999165
na nilisema Mwarabu alikuja kama mtu mwema na mfanyabiashara mwaminifu jua huyu jamaa ni kigeugeu haswa fuatilia Saddam Hussein, Osama, Bashir Kashoggy wanageukwa na nani ni Mzungu?
mwenyewe ndiye uliyetaka nitumie Wikipedia zipo search nying tu lakini nilijua utazikataa km hii sasa unaikataa unasema Mzungu kaiandika)
Historia yako ni ile ya kuhadithia kuwa kisiwa hicho kilikuwa kitupu walipokuja waShiraz na wakaanza kutafuta pembe za Ndovu huku bara mpaka Congo wakakutana na Manyani na kuyakata mikia (sisi waafrika ni manayani tuna mikia) na kuwasafirisha, ndio maana nangoja tafsiri ya PUNDA HAPANDI MUSCAT (UANIJUA NA hutajibu asilani)
Na nimekufahamu mkuu vizuri tu, kinachokusumbua wewe ni ubaguzi na chuki zidi ya waarabu. Sina dawa yakukupa kwa hilo zaidi ya kukuombea maombi Mungu akusaidie mana chuki sikitu kizuri kabisa kwenye moyo wa Mwanaadamu.
Chuki dhidi ya Muarabu / muhindi / au mzungu haziwezi kusaidia kitu. Hawa watu tayari wameendelea kiakili zamani sana tafauti na sisi, na ndio mana wengi wetu tunasumbuliwa na choyo juu yao. Tunawaita wabaguzi wakati sisi wenyewe tunawabagua. Just imagine hizi dini za ulimwengu chimbu lake lingekuaga Afrika ingelikuwaje? Hiyo technology tungekua sisi ndio wenyewe ingelikuaje?
Sisi ni watu wa ovyo sana. Kule Zanzibar Waliuwa waarabu, Wakawanyag'anya mashamba na mali waarabu pamoja na wahindi. Kila kitu wakuchua wao wenye kujiita waafrika. Lakini maka 30 tu mbele bado ukenda Zanzibar tajiri ni muarabu na muhindi. Na sasa hivi nasikia mashamba mingi sana yanamilikiwa na waarabu. Waliwanyang'anya saivi washawauzia tena. Tusubiri tena mbena tutakujasikia waarabu wameteka mashamba kama mnavotukaririsha.
Mkuu waimbaji walishaimba MPEWA HAPOKENYEKI wenzetu vichwa vyao vinafanyakazi sisi tumebakisha wivu.
Bora tuzungumze mengine kesi za waarabu tueke pembeni