Uhai ni jambo jengine katika maisha ya Binaadamu,unapochukua uhai wa mtu kwa makusudi unatakiwa ulaaniwe kwa nguvu zote
Na katika mauaji hayo hayaangalii Dini wala kabila ilimradi anaeuwa au kudhulumu nafsi ya mwenzake kwa kweli anatakia nayeye auwawe tuu
Mauaji yalitokea Mwanza tena ndani ya nyumba ya Ibada yanatakiwa yalaaniwe kwa nguvu zote na hata ikiwezekana waliofanya unyama huu wakamatwe na wao wauawawe
Hii itakua fundisho kwa yeyote yule ambae anafanya upumbavu huu maana haiwi mtu yupo kwenye Nyumba ya Ibada anamuabudu Mungu wake than unakwenda kuidhulumu nafsi yake, kwa kweli huu ni unyama wa kupitiliza
Hivi kama ingelikua Mkiristo ameuliwa kanisani wangeambiwa nani waliofanya jambo hili Je na leo waliouawa ndani ya Nyumba ya Ibada ni Waislam sasa nasubiria waliofanya jambo hili wataitwaje????
Jeshi la Polisi naomba mufuatilie na waliofanya unyama huu wachukuliwe hatua
TUKOMESHE MAUAJI YA AINA KAMA HII