Mauaji ya kutisha mgodini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji ya kutisha mgodini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, May 16, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Imeripotiwa kwamba,polisi wa mgodi wa north mara wamewaua kwa kuwafyatulia risasi watu watano na kuwajeruh wengne kadhaa,habari zinasema watu hao ambao waliandamana kundi kubwa lipatalo watu kati ya 800 hadi elfu 1.lengo la watu hao ni kwamba walitaka kuiba mchanga unaosadikiwa una madini!
  Source:radio 1
   
 2. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kazi imeanza.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kaz gan tena mdau?
   
 4. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Wanaoibiwa wamechoshwa na sasa wameanza kuamkamkuu...
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hapo utaskia,polis watawatetea,maana kamanda wa polis wa mara maelezo yake yanajieleza tu,polis waliwaonya,lakin raia wamekaid amri.....
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kweli kazi ipo ktk uongozi huu wa ngazi ya juu!
   
Loading...