Mauaji ya kutisha geita, watu wachinjwa kama kuku

Kumbe ni Geita
kumbe ni mambo ya ushirikina
Member kwanza tungejikita kuungalia mustakabali wa Jukwaa hili je kuna uhai huko mbeleni kila mtu kuleta habari?
au ndio linafungwa?
wengine wanaBETwengine Manchester
wengine Mahusiano, Jokes mara Mapenzi.
sijui kila mtu na mtazamo wake
 


Huko Geita kuna mtu amekutwa amechinjwa na kutupwa kwenye boma, na hii inatokea wiki moja baada ya mlinzi kukutwa amechinjwa na watu wasiofahamika
mauaji hayo yamehusishwa na ushirikina

Uchunguzi wangu kwa muda wa miaka 2 umebaini kwamba Geita inaongoza kwa mauji ya binadamu kwenye ukanda wa maziwa makuu , ikiwafuatia na mji wa Mogadishu .

Cha kushangaza ni kwamba wakati mauaji ya somalia yanatangazwa na kushughulikiwa lakini yale ya geita hakuna polisi wala mtu yeyote anayejali , bali mazishi ya waliouawa huzuiwa na polisi kwa mabomu na silaha za moto ! Eti kipindupindu !
 
Back
Top Bottom