Mauaji ya kupanga na dhana nadharia za kijasusi

drva anapaswa kuchunguzwa sana manake kama alishtukia alipaswa nkuwa na taghadhari kubwa hata kwa kubadili njia au pia baada ya risas kuanza kulindima alipaswa kuondoa kwa gari kwa spid ya hatare hii ingeweza kuokoa au kupunguza idadi ya risasi dhidi ya bosi wake ama kiongozi lisu


huyu hastail pongezi zaid alaumiwe kwa uzembe mkubwa aliofanya we haiwezekani risas zinanza we umepaki kagari kako na unajua sio bullet proof
Huenda angeondoa gar, angetengenezewa ajari coz hata tairi walipasua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20170913-WA0065.jpg


Jr
 
Mimi ni dereva ukweli kila mtu anaweza kusema lolote this time ila ningekuwa Mimi ndio Dereva Wa lisu nisingeishia kumwambia asishuke

Kama aliona kuna gari inawafuatilia na huku akijua kwamba wanawindwa kwa mda mrefu rejea mkutano Wa waandishi pale dar

Nisingepack pale gari ambapo lilikuwa blocked ningemwambia lisu kuna gari inatuwinda so napitiliza home na kuenda ama
Kanisan
Msikitini
Sokoni


OK labda uwezo wake Wa ufaham uliishia hapo na labda alikuwa amekariri gari iliyokuwa inawawinda dar akapuuza kwa Dodoma

Nakumbuka Mwaka *2013 nilikuwa naendesha Nissan extray nilikuwa nimetoka nimetoka mbezi makonde kumepeleka boss

Wakatibl narudi niahisi kuna gari inaniwinda nilikuwa natoka mbezi kwenda Boko bunju

Nikapita njia ya kunduchi nikawa naongeza mwendo nao wanaongeza nikipunguza nao wanapunguza
Lkn mwisho nikatokea ccm nikageuza kuja tegeta niiaja mpk kibo ndio waka piyiliza nakarudi barabarani na kwenda zangu boko kupack



All in all Tundu yuko hai kwasbb Mungu ametaka abaki na serikali itanyoshewa kidole sana kwa sabb amekuwa mkosoaji mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu inategemea na mazingira dodoma area D wanasema ni sehemu wanayoishi wakubwa na jirani kwa Lissu kuna nyumba ya Naibu speaker Wale walinzi wa hapo wamehojiwa? Waliofungua geti kwa Lisu?
 
Psycologically speaking, nyumbani ndio sehemu unayojihisi uko salama zaidi, hata kama mtu atakuzuru basi familia na jirani watakupatia msaada wa hali ya juu tofauti na njiani tu.

Suppose umepata ajali kwenye basi la abiria, kwa nini unampigia simu mke wako kwanza na hupigi 999 badala yake? Jawabu kwa sababu ni nyymbani, una imani kwa vile ushawajuilisha basi kwa sasa uko salama hata kama utakufa, mwili wako hautapotea tena!

Dereva hakuwa 100% na uhakika, but he did his best under the circumstances!
Inawezekana pia, aliamini kuwa ulinzi uliopo maeneo hayo ni wakutosha, na singekuwa rahisi waonkudhurika.

Msolo
 
Mkuu bado mita 100 ufike nyumbani bado unaona unafuatiliwa na bado unazidi kujipeleka nyumbani hata kama ilibidi wastuke kufuatiliwa huko sio kwa nia njema

Kwani Nyumbani kwa Mh Lissu ndio mwisho wa Barabara ?..
 
Swahiba umeeleza kwa kina jambo hili na jinsi kila nadharia inavyo fanya kazi aidha kufanikiwa au kufeli haya mambo ya ujasusi yana siri kubwa na mbinu za hali ya juu.
 
Back
Top Bottom