Mauaji ya kinyama wilaya ya Nyang'hwale yatanda

choga mkuu

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
283
110
Wilaya Mpya ya nyang'hwale mkoani Geita kata ya Kharumwa ,kijiji cha Ikangala ,mtaa Wa Rasi,na Nyamp'hela kumetokea tukio la kinyama ambapo mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Samweli aliyekuwa mfanyabiashara hapo kijijini juzi alitekwa na kuuawa kinyama na kisha kuzikwa na watu wasiojulikana.

Tukio hilo limetokea usiku wa juzi ambapo marehemu alipokuwa akielekea nyumbani kwake baada ya kufunga kibanda chake,na hapo kutekwa kwake kulitokea.

Aidha watu watatu walishakiwa kutekeleza unyama huo ambapo nao walikamatwa na kupigwa na wananchi wenye hasira kali kisha kuteketezwa kwa moto hapo jana.

Walioteketezwa kwa moto ni Kulwa Misalaba,Abudu na Neema Msaba wote ni wanakijiji wa Ikangala.

Hata hivyo jeshi la polisi linawashikilia watu kadhaa kufuatia kitendo hicho.

Mkoa Wa Geita umekuwa na matukio mengi ya kinyama hali ambayo inapelekea wananchi kuishi kwa hofu .
 
Wilaya Mpya ya nyang'hwale mkoan Geita kata ya kharumwa ,kijiji cha ikangala ,mtaa Wa Rasi,na Nyamp'hela kumetokea tukio LA kinyama ambapo mtu mmoja anayejulikana kwa jina LA samweli aliyekuwa mfanyabiashara hapo kijijin juzi alitekwa na kuuwawa kinyama na kisha kuzikwa na watu wasiojulikana. Tukio hilo limetokea usiku Wa juzi ambapo marehem alipokuwa akielekea nyumban kwake baada ya kufunga kibanda chake,na hapo kutekwa kwake kulitokea. Aidha watu watatu walishakiwa kutekeleza unyama huo ambapo nao walikamatwa na kupigwa na wananchi wenye hasira kali kisha kuteketezwa kwa moto hapo jana. Walioteketezwa kwa moto ni Kulwa misalaba,abudu na neema msaba wote ni wanakijiji Wa ikangala. Hata hivyo jeshi LA polisi linawashikilia watu kadhaa kufuatia kitendo hicho. Mkoa Wa Geita umekuwa na matukio mengi ya kinyama hali ambayo inapelekea wananchi kuishi kwa hofu .
RPC kashindwa kazi huyo. RPC ndo alimuweka gerezani kijana aliyepigwa na kuteswa na Mchina mgodini huko Geita?
Kijana ambaye bila jitihada na Moyo wa huruma kwa watanzania wenzake Mh. Mwigulu Nchemba, kijana wa watu angeozea gerezani. Huyo RPC na wazaidizi wake hiyo kazi imewashinda bora waache tu. Mh. Mwigulu huyo RPC hakufai hata kidogo tumbua ni jipu hilo. Ukiliacha litakuwa tambazi na itakuwa vigumu kulitumbua.
 
Ni kweli mkuu,huyu RPC hafai na hastahili kuendelea na wadhifa wake
 
Back
Top Bottom