Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Wadau mie ni mhanga wa mauaji ya kimbali yakiyotokea Rwanda Na kuua watu zaidi ya 800,000.Mauaji haya yalisababishwa Na Viongozi wetu waliokuwa wanautawala mbaya uliopelekea kutengeneza Ukabila Na kusababisha kabila mmoja lijione bora kuliko lingine Na kutaka kutawala milele.Waandishi wa habari wa kila kabila ndipo walipoanza kushabikia makabila yao.Kwa hiyo mauaji ya kimbali yalisababishwa Na utawala mbaya wa viongozi wa Rwanda.