Mauaji ya JK na "Tusisahau Kamwe". Je JK Anataka Kupiga Risasi Wangapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji ya JK na "Tusisahau Kamwe". Je JK Anataka Kupiga Risasi Wangapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Jan 7, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wananchi Tukumbuke Kwamba Jk na Viongozi Wake Wote Aliowateua Wanataka Kubaki Maofisini Milele. Kitu Kilicho Mfanya JK Kumweleza Mwema Awapige Wananchi Risasi ni Nini? Hao Vijana Wakiandamana na Kupinga Mateso ya Watanzania Sio Haki Yao? Hizi Ndizo Sababu "Katiba Iliopo Tumesha Ifuta" na Kutaka Katiba Mpya. Ukweli Sasa Tanzania Hatuna Katiba na JK Sio Rahisi Halali wa Tanzania. Wananchi Tunataka Kujua "Kwanini Wananchi wa Tanzania Hawana Haki ya Kuandamana? Kwanini Wananchi Wakitaka Kuomba Vibali vya Kuandamana Lazima Wamuombe JK na Kukataliwa, Yeye ni Nani? Wananchi Tunataka JK, Mwema na Polisi Wote Waliohusika Waondoke Serikalini kwa Hiari Yao na Kuacha Mahakama Mpya Kufungua Mashtaka Juu Yao. Ukweli Utapatikana na Sio Kupitia Wapelelezi wa CCM. Hatumwamini Mwema na Ajifukuzishe Kazi Yeye Mwenyewe Kama Alivyo Bosi Wake. Dunia Lazima Ijue Uuwaji Wote na Tutahakikisha Hili.
  Wote Aliotuaga kwa Kupigwa Risasi ni Mashujaa Wetu na Tutawalaza kwa Heshima Zote za TAIFA Letu la Tanzania, Mmetufia kwa Sababu Yetu Sote Tunawaomba Chadema Muchukue Shughuli Yote kwa Familia za Wafiwa na Kuwalaza na Peponi Wenzetu. Wananchi Wengi Tulikuwa Nje ya Mji wa Arusha na Tungekuwa Pamoja na Nyie. Tunawapa Pole Familia Zote na Tunalia na Nyie Tukijiuliza Nini JK na CCM Wanataka Zaidi  "Siku Zote Mapinduzi na Mabadiliko Kutoka kwa Wezi na Mabeberu Hayaji Kirahisi. Lazima Tusonge Mbele Kuikomboa Nchi na Watoto Watakao Zaliwa. CCM Wanasikia Joto Miguuni"
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ni muhimu mashujaaw wetu waliouwawa wakazikwa kwa heshima kama wapigania uhuru wa kweli wa Tanganyika
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  MAUAJI YA JK!....Sounds good!

  Mi nadhani neno KUJIUZULU limefutwa kwenye kamusi ya kiswahili...kama lingekuwepo tusingebaki na hawa vibaraka wa mambo ya ndani wakiwa bado kwenye nafasi zao!...kwa maana hiyo hawawezi kujiuzulu kwasababu wametumwa kufanya hivyo na mkuu wa Danganyika, na wakijiuzulu yeye mwenyewe atawashangaa!
   
Loading...