Tume kwa nini?kuna mambo mengi ambayo bado hayana majibu kama vile Mwangosi kapigwa na nini?je ni bomu kama ambavyo polisi wanadai na hapo ndipo afisa kutoka polisi atasaidia wajumbe wengine wa tume. Mttaalamu wa mabomu anatakiwa kusema ni kwa nini bomu la machozi lilipuke kama grunet na sio kutoa moshi!je hapo kulikuwa kuna defect ya bomu lenyewe au ni aina mpya tofauti na tunayoijua sisi siku zote na jaji ataangalia kama kuna criminal imetendeka na kina Makunga wataangalia tume inatenda haki.tungoje majibu kwa kuwa ni siku 28 tu.Kuna uhalali gani wa Jeshi la Polisi kuwemo kwenye tume hii? Nilidhani kwua wao ni watuhumiwa namba moja? Halafu, mwezi mmoja wote huo wa nini? wanataka tusahau yaliyotokea ili watakapotoa ripoti mambo yawe yameshapoa! kama ni hivyo wanajidanganya, tukio hili halitasahaulika kamwe
ameipa mwezi mmoja ilete taarifa, anasema kuna maswali mengi yamegubika kifo cha Mwangosi mojawapo ikiwa ni mahusiano kati ya mwandishi na jeshi la polisi na amesema hivi karibuni atachukua hatua kali dhili ya polisi wazembe
- Judge...........Mwenyekiti
- Theophile Makunga-Tanzania Editors Forum (TEF)
- Pili Mtambalike-MCT
- Jeshi la Polisi
- Mtaalamu wa Mabomu
ameipa mwezi mmoja ilete taarifa, anasema kuna maswali mengi yamegubika kifo cha Mwangosi mojawapo ikiwa ni mahusiano kati ya mwandishi na jeshi la polisi na amesema hivi karibuni atachukua hatua kali dhili ya polisi wazembe
- Judge...........Mwenyekiti
- Theophile Makunga-Tanzania Editors Forum (TEF)
- Pili Mtambalike-MCT
- Jeshi la Polisi
- Mtaalamu wa Mabomu
- Judge...........Mwenyekiti
- Theophile Makunga-Tanzania Editors Forum (TEF)
- Pili Mtambalike-MCT
- Jeshi la Polisi
- Mtaalamu wa Mabomu
- Judge...........Mwenyekiti
- Theophile Makunga-Tanzania Editors Forum (TEF)
- Pili Mtambalike-MCT
- Jeshi la Polisi
- Mtaalamu wa Mabomu
- ameipa mwezi mmoja ilete taarifa, anasema kuna maswali mengi yamegubika kifo cha Mwangosi mojawapo ikiwa ni mahusiano kati ya mwandishi na jeshi la polisi na amesema hivi karibuni atachukua hatua kali dhili ya polisi wazembe
Ila waziri wa mambo ya ndani katika swala hili angeachia ngazi akae pembeni ili kuonesha uzito wa swala lenyewe halafu baada ya hapo hao wengine wangejitafakari wenyewe wajichukulie hatua gani wakati wanasubiri matokeo.
mtaalamu wa mambomu wakati mwili ulishazikwa na eneo la tukio kuvurugwa siku nyingi? Inashangaza polisi ambao wanajua maana ya ku "secure crime area" walikuwa wa kwanza kuuondoshwa mwili haraka haraka kabla ya "crim scene" haijafanyiwa uchunguzi"
nchi gani hii, polisi hawaaminiki, usalama wa taifa hawaaminiki, takukuru hawaaminiki, eeeh!
Mwezi mzima, wa nini! Mbona siku nyingi sana?