Mauaji ya Daud Mwangosi: Mkurugenzi wa Vilabu vya Waandishi wa Habari Aongea...

Bora hata hao wametoa Tamko makini lenye kutoa kitakachofuata mbele.

Channel 10 na Magic FM waajiri wa Hayati Mwangosi wanajiuma~uma ! wanafumba kuwa Vurugu za CDM na Polisi zimepelekea kufariki kwa Marehemu ! wanauma Maneno.

muunganiko wa mambo hata bila uchunguzi wajinga Polisi ndio wauaji wakubwa !
 
Back
Top Bottom