Mauaji ya askari wa Suma JKT yatikisa Kilimanjaro

Polisi wana stress sana.

Usikae karibu yao, either watakumaliza au watakubambikia kesi.

Hakuna watu nawaogopa kama polisi.
sasa unakaa karibu na polisi ili ugundue nini!!!

ushawai ona mtu anaenda polisi kutembea!!,pale ni sehemu ya matatizo,ukienda huna tatizo inabidi upewe.yapo mengi tu.
 
wengine nadhani mnakoment bila kujua uhalisia ulivyo. askari wa SUMA JKT analipwa mshahara hadi mara 2 zaidi ya wa askari wa makampuni mengine ya binafsi.
 
Suma jkt wengi ukiwachunguza wako stressed, mtu alikwenda jkt kwa lengo one day awe mjeda alafu anaishia kuwa mlinzi, weng wao wako depressed sana
jeshi lingewasaidia hata kuwa ongezea maslahi kidogo waweze kujikimu

Binafsi naona serikali ingewasaidi kuanzisha kampuni zao binafsi za ulinzi japo wafaidike siyo kufaidisha viongozi wao
 
Back
Top Bottom