MAUAJI: WaTz tuache unafiki, kama hamuipendi CCM, msiende mikutano yao kuwapa matumaini


kimanu

kimanu

Senior Member
Joined
May 31, 2013
Messages
196
Likes
5
Points
35
kimanu

kimanu

Senior Member
Joined May 31, 2013
196 5 35
Mimi si mwanasiasa na wala sina chama. Lakini imenipasa kutoa maoni yangu leo hii nikiamini ukimya wangu, ilhali nina cha kusema, utakuwa ni chukizo kwa Mungu aliyenipa maono haya.
Haya matukio yanayotokea, mauaji hasa ya kigaidi ni ishara mbaya sana. Tunapokwenda sipo!
nachelea kusema kuwa, Watanzania wenyewe ndo tunajiwekea hali hizi wakati mwingine.
mfano, kwa miaka 50 chama tawala hakijatusaidia kitu. Ukiongea na kila unayekutana naye, analaumu na kuilaani CCM. Na wote wanajua kuwa, kura zao ndo zitaiondoa madarakani. Bt mwisho wa siku, utawaona kwenye kampeni na mikutano yao.
hii inawapa matumaini hata ya huko "kuchakachua" matokeo ya kura, na kusingizia halaiki ya watu kwenye kampeni kama ishara ya kukubalika. Kwanini msiwasusie hiyo mikutano yao? cuz hata sera zao for decades tushazikariri.
huu ni unafiki wetu. km kweli tumechoka utawala huu, moja ya viashiria ni kuwaacha majukwaani na kuongea kwa kura.
Pia, sidhani kwamba , just because CCM haifanyi vizuri, basi automatically chama pinzani ndo kinafaa. sio kila suluhisho la matatizo yetu CDM itatatua. Jino la pembe si dawa ya pengo.
cha msingi, yeyote mwenye dhamira ya dhati anaweza kuleta mabadiliko popote alipo na si viongozi pekee.
Kwa hali ilivyo, ningependa idadi ya wabunge wa upinzani iwe sawa na ya CCM ili yale makofi na zile "ndiyooo" zipate upinzani , hatimaye mambo ya kipuuzi yakose support kutoka kwa wabunge wa upinzani pamoja na CCM wachache wenye mapenzi mema.
Mungu ibariki Tanzania!
I dont see CCM madarakani 2015 km watanzania watajua wanachokitaka , h.o.n.e.s.t.l.y
 
M

maswitule

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
1,399
Likes
91
Points
145
M

maswitule

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
1,399 91 145
Hatuendi kwenye mikutano yao, bali huwabeba watu toka vijijini kwa ujira mdogo na kuwaleta mijini kwenye kampeni hata wewe unajua au umesahau?
 
Jomy

Jomy

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Messages
407
Likes
136
Points
60
Jomy

Jomy

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2012
407 136 60
Chukua like mdau, umenena vyema
 
kimanu

kimanu

Senior Member
Joined
May 31, 2013
Messages
196
Likes
5
Points
35
kimanu

kimanu

Senior Member
Joined May 31, 2013
196 5 35
hao hao wa huko vijijini ndio haswaaaa nawazungumzia! pambafff! halafu ndio wengi sasa!
While CCM wanawatumia mabalozi,
CDM wangewatumia WAALIMU ktk kampeni zao ili kuwafikia hawa!
God, im a genius!
seriously, though!
 

Forum statistics

Threads 1,273,525
Members 490,428
Posts 30,484,172