Mauaji Tarime: Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini adaiwa kuua na kufadhili msiba kukwepa mkono wa Sheria

Hili suala la mdogo wako kuuliwa kisha ufanye mazungumzo siyo rahisi, najua hata wewe mleta mada huwezi, yawezekana kuna siasa mnataka kuzipitishia katika hili.
Siasa imewatala hadi bongo zenu zimefreeze
 
Mwizi anapaswa kuuwawa hapohapo siku yakikukuta huwezi kutetea mwizi ata akiwa mwanao. Atumbukizwe kwenye kemikali hakuna maana kuzika mwizi zama tulizopo
 
Japokua Ni kinyume na sheria,
ila Naungana na mwenyekiti wa halmashauri!

Wezi dawa yao wauawe TU, Haina namna

Unapelekea mwizi polisi mwezi Mei,

Mwezi Juni anahukumiwa jela.

Kisha novemba (miezi 5 baadae) siku ya Uhuru anapata msamaha wa raisi.

Anarudi Tena mtaani kanenepa kutuibia zaidi,

Huu upuuzi haukubaliki hata kidogo
na kuna ile ya kuachiwa sababu mashahidi hakuna.
 
Utawala wa sheria mkuu. Ni kweli dogo kakosea na ndio maana Polisi na Mahakama zipo
huwezijua hasara zake mpaka siku umeibiwa na mwizi anakuja samehewa miezi kadhaa mbele.

anyway utawala wa sheria ni mzuri zaidi.
 
Tajiri hakamatwi kizembe wewe! Pesa itakamatwa kwa niaba yake!! Tajiri akamatwe kisa masikini kataka? Hapana aisee,siyo kwa utawala wa mama
tayari wameshalitia ndani hilp Tajiri, naona Mkuu wa Wilaya ya Tarime na Mkuu wa kiPolisi Kanda ya Tarime wametamka
 
Mimi npo rorya kesi Kama hizo wanamaliza kienyeji Sana.


Kumbe itakuwa ndiyo sababu hawaachi kuuana?!

Sheria inakataza kujichukulia sheria mkononi.

Wizi kweli mbaya lakini yapaswa afikishwe kwenye vyombo vya sheria.

Na mambo ya kumalizana kienyeji hayakubaliki wataendelea kulea huo ugonjwa wa kuuana hadi watakapokataa kumalizana kienyeji.
 
Back
Top Bottom