Mauaji nchini Marekani sasa yafikia pabaya, raia waanza kulipiza visasi dhidi ya Polisi

Richard chilongani

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
324
112
Unadhani hali ilivyo sasa Trump endapo akifanikiwa kushika dola nini itakuwa hatma ya wamarekani weusi na Sera zake za kibaguzi.

Changia Maoni yako nini kifanyike kulinusuru Taifa hili kubwa duniani.
 
Unazani hali ilivyo sasa trup endapo akifanikiwa kushika dola nini itakuwa hatma ya wamarekani weusi na Sera zake za kibaguzi.changia Maoni yako nini kifanyike kulinusuru Taifa hili kubwa duniani.

Hakuna haja ya kulinusuru ngoja liteketee ili dunia iwe na amani...mauaji ya wamarekani weusi huko USA hayakuanza leo yamekuwepo toka Enzi na Enzi....ila sasa mwisho ndiyo unakaribia...kinachosubiriwa ni kwa Wamarekani wenyewe kwa wenyewe kulipuana kwa nyuklia...
 
Una mawazo mazuri sana ya kufundishia. Ila nadhani ningelikuwa weye, naona ningeuliza kuwa ni nini kitatokea endapo ccm wataendelea na mipango yao ya kufanya mkutano wao 23/7 kule Dodoma na ni hasara gani watapata wakiuahirisha mpaka rais atengue usemi wake tata kuhusu mikutano ya vyama vya siasa.
Tusiende kuzima moto nyumba ya jirani wakati kwetu kunafuka moshi tiyari.
 
Unazani hali ilivyo sasa trup endapo akifanikiwa kushika dola nini itakuwa hatma ya wamarekani weusi na Sera zake za kibaguzi.changia Maoni yako nini kifanyike kulinusuru Taifa hili kubwa duniani.
Huyu Trup ni kiongozi wa chadema !?? .....ngoja tumuulize kubenea
 
Obama kama Kikwete tu...
Ngoja aingie Trump, wamarekani watanyooka kama sisi tunavyonyooka huku. Some times hizi kelelekelele zikiendekezwa ndiyo zinaifikisha jamii pabaya. Dunia inahitaji ainahitaji aina Fulani ya 'madictator'.
Hata uongozi ndani ya familia huwa unahitaji mtu myenye nguvu na sauti. Haya mambo ya mtoto wa kiume kuita 'dady dady na I miss you mon' haya utakuja kustukia watoto wako wa kiume wanaanza kushinda kwenye dressing tables za mama na Dada zao, na baadaye watu wanakuja kuwachumbia.
 
Unazani hali ilivyo sasa trup endapo akifanikiwa kushika dola nini itakuwa hatma ya wamarekani weusi na Sera zake za kibaguzi.changia Maoni yako nini kifanyike kulinusuru Taifa hili kubwa duniani.
Elezea wamewindwaje????
Achana na porojo za Trump
 
Wala vumbi wengi mna IQ ndogo sana!
Na wewe Usipende Sana kudharau kila kitu, unachukulia Poa Sana ila ujue tabia za wazungu zitaifanya Marekani ianguke kabisa, hebu kasome Biblia ktk kitabu cha Ufunuo uone hatima ya USA Baby itakavyokuwa, soma kitabu ☑ chote cha Ufunuo, Usipende kuishi Kwa hisia na upenzi wa kitu bila uhalisia, kabla ya USA baby yalikuwepo mataifa mengine makubwa and today they are no more, think big about this my friend, iko Siku.
 
Na wewe Usipende Sana kudharau kila kitu, unachukulia Poa Sana ila ujue tabia za wazungu zitaifanya Marekani ianguke kabisa, hebu kasome Biblia ktk kitabu cha Ufunuo uone hatima ya USA Baby itakavyokuwa, soma kitabu chote cha Ufunuo, Usipende kuishi Kwa hisia na upenzi wa kitu bila uhalisia, kabla ya USA baby yalikuwepo mataifa mengine makubwa and today they are no more, think big about this my friend, iko Siku.
Watu wengine bwana! Kwani hiyo biblia ndio katiba ya marekani?

Biblia ilikuwa ni kwaajili ya kukupumbaza wewe mwafrica usiyependa kufikiri.
 
Na wewe Usipende Sana kudharau kila kitu, unachukulia Poa Sana ila ujue tabia za wazungu zitaifanya Marekani ianguke kabisa, hebu kasome Biblia ktk kitabu cha Ufunuo uone hatima ya USA Baby itakavyokuwa, soma kitabu ☑ chote cha Ufunuo, Usipende kuishi Kwa hisia na upenzi wa kitu bila uhalisia, kabla ya USA baby yalikuwepo mataifa mengine makubwa and today they are no more, think big about this my friend, iko Siku.

Marekani haiendi popote wewe.

USA baby
upload_2016-7-11_1-42-1.png
upload_2016-7-11_1-42-3.png
upload_2016-7-11_1-42-4.png
 
Watu wengine bwana! Kwani hiyo biblia ndio katiba ya marekani?

Biblia ilikuwa ni kwaajili ya kukupumbaza wewe mwafrica usiyependa kufikiri.
Biblia ni kitabu kitakatifu cha Mungu kinachoeleza kuhusu yote yajayo na hatima ya dunia hii, Biblia ni zaidi ya katiba wewe juha
 
Biblia ni kitabu kitakatifu cha Mungu kinachoeleza kuhusu yote yajayo na hatima ya dunia hii, Biblia ni zaidi ya katiba wewe ****
Biblia ni kitabu cha hadithi kilichotungwa enzi za ujinga.
Unaposema ni kitakatifu unapaswa kuniambia utakatifu unapimwaje.

Alafu kama kweli wewe ni mtetezi wa huyo mungu wa kufikirika tu, hizo nyotanyota ungezitafsiri ili nikuone ni wa daraja gani. Are you sure?
 
jiheshimu we jamaa acha kudharau asili yako usijifanye umerukwa akili ase ulimbukeni huo
Labda kwa kuwa hupendi alichosema huyo jamaa lakini ukweli unabaki palepale mambo yakwetu ni hovyo zaidi kuliko ya USA ila tunajifanya hatuoni
 
Back
Top Bottom